Mcha mungu sana ( narudia tena ) mcha mungu mno uwe mkristo au muislam kwangu haina tatizo
Unayejitambua
Usiwe mzuri sana wala mbaya sana
Elimu kuanzia diploma, degree, masters na phd na umri...
Salaam' naitwa sam npo morogoro nna miaka 26 natafuta mchumba awe na umri kuanzia miaka 22-23,asiwe mwanafunzi awe mweupe au mweusi nipo gudy kwake na awe mrefu wa wastan,awe mkristo aliye tayari...
Awe anapatikana dar es salaam, age 23-28 kama akiwa mkristo itakuwa poa zaidi,elimu yake iwe kuanzia form four na kuendelea.
mimi mwenyewe napatikana dar es salaam,nina elimu ya chuo...
Ni dhairi kukataliwa kunauma ila kuna haja ya kusoma alama za nyakati kama unaona mapenzi yamefika ukingoni ng'oka tu mbona Goodluck Jonathan kapigwa chini kaumia ila katulia nahsi aliona maisha...
I can't forget this evening or your face as you were leaving, but I guess that's just the way the story goes. You always smile but in your eyes your sorrow shows, yes it shows!
And I can't...
Mm ni kijana nina miaka 24...kwa sasa npo chuo kikuu maeneo ya dar... ila kutokana na wanawake kuwa na vijitabia ambavyo wanaviiga wakishafika huku chuo hivyo mm meamua kutafuta mchumba...
Kuwa hii mboga imekuwa dawa ya mapenzi mtu akitumia nakuwa wa kiwango cha lami hadi mpenziwe anampatia kila senti aliyonayo tofauti na kabla ya kuitumia. Mgagane jumlisha asali nani kaliona hili...
Marafiki habari za kuhaingaika,
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha, Mimi na dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari...
Ngoja tuu niongelee kwa kifupi maana bado inaniuma saana wadau nilibaatika kupata kademu ka first year kwa njinsi nilivyokaona kananipenda ikabidi nianze kufikiria kuoa.
Lakini sasa miezi miwili...
Wenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
Habari wakuu,
Jamani naombeni msaada mpenzi wangu amepaniki sana kisa nimedate nae bila kondom anadai nimemharibia maisha na anadai ammeniacha na kama ni mtoto wangu atanitafuta.
Ni mpenzi...
Jamani wana JF,
Mimi ni mama, umri miaka 44 na mume wangu amenipita miaka 9. Mume wangu ni mlevi kupindukia, yeye akisha nunua chakula na kulipia watoto school fees, akipata hela anachowaza ni...
Adebayor family drama part 2 nimesoma kwa makini. Japokuwa sio sahihi kwa ku judge kwa story ya upande mmoja lakini kwa haraka haraka nahisi Adebayor ndio ana matatizo ni vizuri wote wanaofatilia...
Habarini wadau,
Sikuhizi imekuwa kama fashion kwa wapenzi especcially wenye uwezo flani kiuchumi na elimu kuthamini tu suala la kupata na kuwa na mtoto kuliko mke au mume. Ni nini sababu, kuogopa...
Nna rafiki Yangu anatia huruma, aliolewa mwaka Jana mwezi wa 9 mwaka huu mwezi wa 2 baba Mkwe wake kaja kuishi nao,
kibaya zaid wanachumba na seble tu mwanzo alikuwa analala gest Mume gharama...
Habari,
Katika soma soma yangu mtandaoni, nimekutana na hii makala, kwa yule ambaye hajawahi kuiona na kuisoma inaweza kuwa msaada kwake kwa namna fulani.
Kwanini ndoa nyingi leo zimejaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.