kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Ona tofauti kubwa kati ya kuwa na mke au kuwa na girlfreind
1. Mke anamsaidia mume wake kumanage his finances properly. Girlfriend anamsaidia boyfriend wake ku spend pesa zake
2. Mke ni mwangalizi wa nyumba, anaweka nyumba katika mazingira mazuri. Girlfriend anakuja kusalimia and have fun, kisha anarudi kwao to comfort of her own home.
3. Mke anasali na mume wake. Girlfriend vigumu kusali na boyfriend wake. Pray on by own
4. Mke anafikiria na anaomba mume wake apate mafanikio na maendeleo. Girlfreind tumaini lakekuu katika mafaninikio ya boyfriend wake ni kwa ajili ya faida zake
5. Mke anampikia mume wake. Girlfriend anawaza kula out (Fast-food restaurants) pamoja na take-away.
6. Mke anamshukuru mume wake kila wakati. Girlfriend yeye anamshukuru boyfriend wake hasa pale atakapo kuwa amepewa kitu fulani.
7. Mke yupo tayari kusimama upande wa mume wake katika nyakati zote, mazuri na mabaya. Girlfriend only comes around when all is good.
8. Mke anapanga maendeleo na mume wake. Girlfreind yeye mawazo yake ni ya wakati uliopo.
9. Mke yupo tayari kumsaidia mume wake na familia yake. Girlfriend ni vigumu kumsaidia jamaa yake japokuwa anao uwezo huo.
10. Mke anampenda mume wake kwa zaidi ya 85%. Girlfriend wapo wanaopenda ila wengu wapo ki interest zaidi.
11. Mke yupo tayari kujisacrifices kwa mume wake. Girlfrend yupo tayari kuruka kinanga kama swala pindi mambo yakienda kombo.
Nyinyi masenior bachelor, na nyinyi ambao kila kukicha mnaojipanga tu mpaka mwana wa adamu arudi fanyeni maamuzi sasa.