Mpenzi wangu hataki tu Do toka tukutane,NIMWACHE?

Mpenzi wangu hataki tu Do toka tukutane,NIMWACHE?

Gonzaga Ngonyani

Senior Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
157
Reaction score
92
Habari wakuu!
Nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada mmoja miezi 6 iliyo pita.
Tumependana,na tunajaliana kwa hali zote.
Shida inakuja pale tu ninapo muomba game,
analeta lame excuses kibao,mara et ni too early,
mara ngoja afikirie kwanza,
mara et had nijitambulishe kwao!
HAJAWAH KUNIPA HATA SIKU MOJA!
Wakuu,et inawezekana kuna penzi la kweli hapa?
 
Uyo we mualike geto bila kumwambia mambo ya ku doo na akiingia tu fanya mambo, bt if possible we anza michakato tu yakukabiziwa jiko
 
hataki tu.....hayuko tayari sasa wewe umekuwa kinganganizi ndo maana

unapewa hizo Lame excuse
 
  • Thanks
Reactions: 2AC
kwani aliyekwambia penzi la kweli mpaka m do nani?
Km una mapenzi ya kweli/dhati unaharaka ya nn?
Oa uoewe kihalali
 
Habari wakuu!
Nilianzisha uhusiano wa kimapenzi na dada mmoja miezi 6 iliyo pita.
Tumependana,na tunajaliana kwa hali zote.
Shida inakuja pale tu ninapo muomba game,
analeta lame excuses kibao,mara et ni too early,
mara ngoja afikirie kwanza,
mara et had nijitambulishe kwao!
HAJAWAH KUNIPA HATA SIKU MOJA!
Wakuu,et inawezekana kuna penzi la kweli hapa?

Naona umeamua kuu- promote uzinzi.
 
Fanya yote ila usisahau kinga,watu mnakuaga wabishi unakuta hapo unaepushiwa makuu ila wewe umeshupaza shingo kuona hauutendewi haki.
Ningekua mim ndo huyo binti af nikajua unataka kuniacha sababu nimekunyima hakika ungenikosa
 
huwa inachukua mda kwa mwanamke kukubaliana na jambo hilo kama hajawa na uhakika na mtu aliyenae kama anampenda.jitahidi kuonyesha kumpenda kwa vitendo si kingono zaidi, baada ya mda utaona matokeo ya kuonyesha upendo
 
kuna haja ya kupeleka vijana jando


Unadhani zinaa ndo mapenzi
 
Niheri yako inawezekana ana mdudu na anakuonea huruma kukuambukiza ama unashindwa kumuhonga ndio ikawa hivo
 
Nyama hajakupa, vipi kuhusu mchuzi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom