Boni mwaitege na mtazamo wake kuhusu ndoa...

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Habari wakuuu... Natumai mu wazima wa afya kabisa... Na kwa wale wagonjwa mungu awapenafuu pia..

Back kwa mada hapo juu...

Ijapo kua msemo "mke mwema anatoka kwa mungu" na imani juu ya ndoa ulikuapo tangiapo,baada ya boni mwaitege kuimba kale kawimbo kake ndo kazidisha kabisa kuwapa fake hope vijana wasio oa/olewa...

Sina imani kabisa na huu msemo "mke mwema anatoka kwa mungu" hauna mantiki yeyote.... Iweje uyo mke atoke kwake.?na kwanini atoke kwake wakati wanawake na wanaume tuko hapa duniani.? Au yeye ndio anatuchagulia huyo mke.?

Tukirudi ktk maandiko hakuna hata mahali pameandikwa kua mke/mume bora anatoka kwa mungu labda mimi silijui hilo andiko nisaidieni.?

Na kama uyo mke mwema anatoka kwake na maandiko yaka sadiki,kwanini ktk maandiko hayo hayo kuna neno taraka.?

Nacho amini nikua mke mwema,mume mwema/bora nilazima umuandae wewe ktk hatua za awali za uhusiano wenu..

Wakuu embu tusaidiane bna mana mi namaswali mengi juu ya imani izi za wazungu na waarabu..
 
Endelea kujipa hope fake,umri unakwenda unadhani utaambiwa na mungu nenda sinza uta mkuta mke mwema,au mume mwema amekaa kitako unakusubiri muondoke mkafunge ndoa... Shauri ako
 
Wanaosubiri itakula kwao, kutafuta mke ni project kama zingine zozote. Kila unachotaka Mungu anakupa lakini ni lazima uchukue hatua.
 
Wewe ni muumini wa imani gani? Kama ni imani ya Yesu Kristo basi kabla hata ya kujadili mada hii nakuomba uisome vyema Biblia ndio urudi na thread mpya...

Umejaribu kuibua hoja ambayo ipo juu ya uwezo wa zako fikra na mbaya zaidi bado hujajitosheleza kiushahidi wa ulichoandika.

Endelea kujipa hope fake,umri unakwenda unadhani utaambiwa na mungu nenda sinza uta mkuta mke mwema,au mume mwema amekaa kitako unakusubiri muondoke mkafunge ndoa... Shauri ako
 
Wewe ni muumini wa imani gani? Kama ni imani ya Yesu Kristo basi kabla hata ya kujadili mada hii nakuomba uisome vyema Biblia ndio urudi na thread mpya...

Umejaribu kuibua hoja ambayo ipo juu ya uwezo wa zako fikra na mbaya zaidi bado hujajitosheleza kiushahidi wa ulichoandika.

mkuu kwangu mimi ukiniuliza mimi ni dini gani nacho jua wamaanisha ni mfumo gani wa maisha ninao ishi,nitakujibu naishi mfumo wa wazee wa kale,siishi kwa mfumo wa waarabu wala wazungu.
 
Sasa kama unaishi katika imani hiyo uliyoibainisha kuwa wewe ni mfuasi kwayo, iweje uhoji mambo usiyoyaamini??

Ni sawasawa na Mtanzania kuanza kuhoji mambo ya Katiba au Sheria za Kenya ilihali yeye ni mkazi wa Tanzania na sheria hizo hazina tija kwake....
 
Habari wakuuu... Natumai mu wazima wa afya kabisa... Na kwa wale wagonjwa mungu awapenafuu pia..

Back kwa mada hapo juu...

Ijapo kua msemo "mke mwema anatoka kwa mungu" na imani juu ya ndoa ulikuapo tangiapo,baada ya boni mwaitege kuimba kale kawimbo kake ndo kazidisha kabisa kuwapa fake hope vijana wasio oa/olewa...

Sina imani kabisa na huu msemo "mke mwema anatoka kwa mungu" hauna mantiki yeyote.... Iweje uyo mke atoke kwake.?na kwanini atoke kwake wakati wanawake na wanaume tuko hapa duniani.? Au yeye ndio anatuchagulia huyo mke.?

Tukirudi ktk maandiko hakuna hata mahali pameandikwa kua mke/mume bora anatoka kwa mungu labda mimi silijui hilo andiko nisaidieni.?

Na kama uyo mke mwema anatoka kwake na maandiko yaka sadiki,kwanini ktk maandiko hayo hayo kuna neno taraka.?

Nacho amini nikua mke mwema,mume mwema/bora nilazima umuandae wewe ktk hatua za awali za uhusiano wenu..

Wakuu embu tusaidiane bna mana mi namaswali mengi juu ya imani izi za wazungu na waarabu..

...Kwa kuwa Mwaitege ni mkristo, naamini ulimaanisha kuwa andiko hilo halipo kwenye biblia, sasa Rejea kwenye Biblia....

....Mithali 19:14 nanukuu, "Nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa babaye; lakini mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"...
 
...Rejea kwenye Biblia yako....

....Mithali 19:14 nanukuu, "Nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa babaye; lakini mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"...

Haamini katika Biblia wala Qur'an hivyo mtu huyu huwezi kumfundisha akakuelewa.....:bolt:
 
mkuu kwangu mimi ukiniuliza mimi ni dini gani nacho jua wamaanisha ni mfumo gani wa maisha ninao ishi,nitakujibu naishi mfumo wa wazee wa kale,siishi kwa mfumo wa waarabu wala wazungu.
Kama mfumo wako ni wa wazee wa kale na hauishi kwa mfumo wa waarabu na wazungu nisawa na ninaheshimu maamuzi yako.sasa kuna wengine ambao tumeamua kuwa na dini hizo ambazo zimeenezwa na waarabu na wazungu na tunazifuata na kuamini kila kilichoandikwa ktk vitabu vitakatifu,ninaomba na wewe utuheshimu na kuacha kuingilia mambo yasiyokuhusu na usioyaishi.ninaamini hauna unachotaka kukijua juu ya mke mwema kutoka kwa Mungu zaidi ulitaka tujue kuwa unafuata mfumo wa wazee wa kale.
 
Ph-25 hivi utaniambia Mungu hahusiki katika kupatikana mke/mume mwema?????
 
usifungiwe nira na wasioamini.... achana nae huyo, keshakwambia haamini kama Mungu yupo, sa ataamini vipi kama mke/mume mwema anatoka kwa Mungu??
 
mkuu kwangu mimi ukiniuliza mimi ni dini gani nacho jua wamaanisha ni mfumo gani wa maisha ninao ishi,nitakujibu naishi mfumo wa wazee wa kale,siishi kwa mfumo wa waarabu wala wazungu.

Pilipili usioila kwanini ikuwashe mzee? 'mke mwema hutoka kwa bwana' hii inawahusu wakristo tu.
kwakuwa wewe sio wa kundi hilo ni dhahili huwezi jua chochote ju ya mke mwema hutoka kwa bwana.

Ushauri wangu kwako fuata misingi ya imani yako hiyo ambayo unayo na uachane na misingi ya imani zingine
 
Sasa kama unaishi katika imani hiyo uliyoibainisha kuwa wewe ni mfuasi kwayo, iweje uhoji mambo usiyoyaamini??

Ni sawasawa na Mtanzania kuanza kuhoji mambo ya Katiba au Sheria za Kenya ilihali yeye ni mkazi wa Tanzania na sheria hizo hazina tija kwake....

Very good answer!!!! Excellent bro!!
 
...Kwa kuwa Mwaitege ni mkristo, naamini ulimaanisha kuwa andiko hilo halipo kwenye biblia, sasa Rejea kwenye Biblia....

....Mithali 19:14 nanukuu, "Nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa babaye; lakini mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana"...

atleast umekuja na andiko mkuu... Kumbe kinacho zungumzwa ktk andiko hili ni mke mwenye busara ndiye atokae kwa bwana,sasa kwanini aliwaumba wengne hakuwapa busara.? Ina mana hawafai kuolewa.?
 
Ph-25 hivi utaniambia Mungu hahusiki katika kupatikana mke/mume mwema?????

ndio mkuu... Coz andiko lililo tolewa linasema busara,huoni kuna tofauti kati ya mwema na busara.? Naamini binadamu unaweza kumrekebisha na akawa mwema na akakosa busara.
 
Pilipili usioila kwanini ikuwashe mzee? 'mke mwema hutoka kwa bwana' hii inawahusu wakristo tu.
kwakuwa wewe sio wa kundi hilo ni dhahili huwezi jua chochote ju ya mke mwema hutoka kwa bwana.

Ushauri wangu kwako fuata misingi ya imani yako hiyo ambayo unayo na uachane na misingi ya imani zingine

kwani kuna ubaya gani mimi kujua na kuuliza maswali juu ya mifumo mingne/dini za watu.? Au ndio mnavyo fundishwa huko kwenye dini zenu kua ni mwiko mtu asie usika na dini flani hapaswi kuuliza wala kujua chochote.? Unalo andiko juu ya unenacho.?
 
usifungiwe nira na wasioamini.... achana nae huyo, keshakwambia haamini kama Mungu yupo, sa ataamini vipi kama mke/mume mwema anatoka kwa Mungu??

haya ndo madhara ya kunywa viroba... Wapi mimi nimeandika siamini mungu.?
 
Si kila kitu katika characters za mwanadamu ameumbwa nazo ndugu. Nyingine mtu hu-acquire katika makuzi yake kwa namna mbalimbali ikiwemo kuu ya kufundishwa/kuelekezwa/kuongozwa (grooming). Na katika grooming ni responsibility ya mhusika "kukubali na kutii". Asipotii na akawa jitu la hovyo, si kosa la mfundishaji wala la Mungu.
atleast umekuja na andiko mkuu... Kumbe kinacho zungumzwa ktk andiko hili ni mke mwenye busara ndiye atokae kwa bwana,sasa kwanini aliwaumba wengne hakuwapa busara.? Ina mana hawafai kuolewa.?
 
kwani kuna ubaya gani mimi kujua na kuuliza maswali juu ya mifumo mingne/dini za watu.? Au ndio mnavyo fundishwa huko kwenye dini zenu kua ni mwiko mtu asie usika na dini flani hapaswi kuuliza wala kujua chochote.? Unalo andiko juu ya unenacho.?

Jaribu kusoma Mithali 19: 10-20
 
Back
Top Bottom