Kuna ndoa hapa kweli?

Kuna ndoa hapa kweli?

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,724
Reaction score
5,288
Habari wana Jamvi.
Nina rafiki wa karibu hapa, Yeye ni dereva taxi wamependana kwelikweli na mdada flani hivi tangia binti huyo anasoma.
Walikubaliana akishamaliza tu waoane ila sasa mdada kwa level yake ya elimu alofikia na kaz aifanyayo ndio inatutia shaka sisi rafiki ya jamaa yetu. Mdada kahitim masters yake ya Ba nakula mshavu wa maana kwenye kampuni ya maana ambao unampa take home ya maana.
Japokua dem na mshakaji bado wako na msimamo wao ule ule Lakini utata unakuja
1.je huyu mdada atakubali kweli kuolewa na dereva taxi huyu?
2.Wakioana unafikiri ndoa yao itadumu?
 
Wasi wasi wenu utawaponza, mumpoteze huyo mwanamke...
Maana matatizo mengine hua mnayakaribisha kutokana na hisia zenu au mawazo... so be +
 
Mmmh.......hata mimi napata wasiwasi........sijui itakuwaje.......
 
Wenyewe si wamekubaliana? Nyie funga mguu nyuma geuka,mwendo wa haraka mbele tembeaa!
 
hapo mbona ndoa ipo tu mkuu,wametoka mbali ninawasiwasi hata bikra alitoa ttax driver,nadhani kidume huu ndo muda wakula matunda ya alichokipanda NB;kuna uwezekano mkubwa sana mdada akabadilika kama akiwa ni LIMBUKENI kama wadada wengi walivyo mara baada tu ya mfumo wao wa maisha kupanda(kubadilika) tofauti na wanaume kidogoo
 
kwani wakati wanaanza mapenzi yao mbona hukuhofia jamaa yako kuwa nae hadi leo?
 
Wenyewe si wamekubaliana? Nyie funga mguu nyuma geuka,mwendo wa haraka mbele tembeaa!

Mtu anapiga mashine mpaka mchuchu unapiga mastaz walikuwa wanaangalia tu. Mchuchu umemaliza shule umelamba ajira fresh wakuda ndo wanaanza kuuliza kama wataendana. Anayepigwa storongo hana habari wapambe wanajiuliza kama wataendana.

Mi nadhani wampelekee taxi driver awagonge na wao waone utamu wake ndo wajue kwanini mastaz si kitu mbele ya storongo.

Mi nakasirikaga sana mimi.
 
^^
Inategemea..wengi husahau walikotoka.
Masters ofisini nyumbani mke!
^^
 
Kwani udereva taxi ndio utu wa huyo mwanaume...???

Leo hii ni dereva taxi lakini kesho anaweza kuwa mfanyabiashara mkubwa kwa msaada wa mchumba/mkewe...

Hayo mawazo yenu mgando ndio mojawapo ya vikwazo vya maendeleo maana ni mawazo kandamizi....

Hebu angalia viswali vya kipashkuna unavyoviuliza, nyambaaaafu utadhani mapenzi uliyaumba wewe...

1.je huyu mdada atakubali kweli kuolewa na dereva taxi huyu?
2.Wakioana unafikiri ndoa yao itadumu?
 
Mmmh.......hata mimi napata wasiwasi........sijui itakuwaje.......
Eti dada Preta hebu funguka we kama wew wawezakubali olewa na mshkaji mwenye taito ka hii?
 
Mmmh.......hata mimi napata wasiwasi........sijui itakuwaje.......

hakuna cha itakuwaje mama, sisimizi hawezi kumnyenyua tembo. Huyo dereva wa teksi labda aende kwa waganga wa kienyeji ampumbaze binti ndiyo ataweza kumwoa.
 
Habari wana Jamvi.
Nina rafiki wa karibu hapa, Yeye ni dereva taxi wamependana kwelikweli na mdada flani hivi tangia binti huyo anasoma.
Walikubaliana akishamaliza tu waoane ila sasa mdada kwa level yake ya elimu alofikia na kaz aifanyayo ndio inatutia shaka sisi rafiki ya jamaa yetu. Mdada kahitim masters yake ya Ba nakula mshavu wa maana kwenye kampuni ya maana ambao unampa take home ya maana.
Japokua dem na mshakaji bado wako na msimamo wao ule ule Lakini utata unakuja
1.je huyu mdada atakubali kweli kuolewa na dereva taxi huyu?
2.Wakioana unafikiri ndoa yao itadumu?
Kwanini asikubali kuolewa nae kama anampenda!Ndoa itadumu kama kuna mapenzi ya dhati..
 
kama dada aonyeshi namana yoyote ya dharau ni sawa tu. kikubwa ni penzi tu. tumwombee mungu.
 
mm binafsi sijaona tatizo! mwanamke akipenda ujue kapenda kweli.....
tafuta ile song ya R~ kelly inayosema WHEN WOMAN LOVE
 
Kwanini asikubali kuolewa nae kama anampenda!Ndoa itadumu kama kuna mapenzi ya dhati..
"
Mapenz ya dhati!!!!!!" Hizo fikra ondoa kabisa....real love is the relative term...it alwayz involve an "OPTIONS" f(x)=mx +c...,for ever value of c (example worth ,skill,security) is what will push he/she..to initiate relationship to somebody...hivyo km mtaan kwetu tajir ni tax driver pekee bint atakwenda kwake ...lakn endapo utakuja zaid ya taxi driver...basi real love (un certainty term) itahaama..."mfalme Mwati kaoa bint mwingine...discuss..
 
kama dada aonyeshi namana yoyote ya dharau ni sawa tu. kikubwa ni penzi tu. tumwombee mungu.
Ni kweli mdada haoneshi namna yoyote ya dharau. Lakini watu hubadilika kutokana na mazingira ndo hilo linalohofiwa, Anakwenda ofcn anakutana na maboss wa hadhi yake watamtokea hawa kweli nafasi ya rafiki yetu si itakua inapungua daily kwake?
 
kwani jamaa kaona tofauti yoyote katika mahusiano yao hadi aanze wasiwasi?
 
kwani jamaa kaona tofauti yoyote katika mahusiano yao hadi aanze wasiwasi?
Kautofauti hakapo lakini tulivomshauri jamaa yetu kama vipi amtie mimb ili ajihakikishie lakini alivomuendea mdada akamchomolea eti mpaka waoane. Lakini hii ndoa hii ndio yatutia mashaka koz hata akienda kwa wazaz wa mdada hawamfurahii na mshua ake alishawahi mkataa laivu thoo mdada still anampenda mshkaji.
 
Back
Top Bottom