Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe. Kwa kweli nikishaona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikuwa nina mpango nae for sure namtema mazima.
8 Reactions
270 Replies
40K Views
Waheshimiwa, Mimi ni baba wa watoto wawili ni mfanyakazi na nimeoa pia. Mzee wangu pamoja na utu uzima alionao aliingia kwenye penzi zito na secretary wake maana ana kampuni yake binafsi...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Wakuu, Hii dunia ina mambo mengi sana, ndio maana tunatakiwa kufikiri kabla ya kutenda na hapa ndipo tunapotakiwa kukubali kuwa sio wote walioko magerezani wana makosa. Ni muda mrefu kiasi...
11 Reactions
41 Replies
8K Views
Wakuu , Nimekamatwa katikati ya penzi zito la mchepuko wa dingi yangu, Ipo hivi mimi nimeoa kwa miaka miwili sasa naishi Mwanza wazazi wangu pia wanaishi hapa hapa Mwanza kwa takribani mwaka na...
5 Reactions
134 Replies
18K Views
Kwa heshima na uadilifu mkubwa kwenu!Napenda kujitokeza hapa KUTAFUTA MKE WA MAISHA,MKE WA KUANZISHA NAE FAMILIA.Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 46,nina urefu wa futi 5 na inch...
1 Reactions
0 Replies
927 Views
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo...
0 Reactions
90 Replies
12K Views
Wakuu, Juzi nimenusurika na janga baada ya kunyata kwenye chumba cha mgeni binamu wa wife kutoka Moshi. Binti huyo sikujua kama ni mlokole hivyo akaanza kunikemea kwa lugha nisiyoijua na...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Unapomsamehe mtu fulani, kuna upendo mwingi.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Husika na heading hapo juu, Wakuu weekend iliyopita nilimuaga mke wangu kuwa nina semina nje ya Dar kikazi maana hiyo ndo huwa mbinu yangu ya kwenda kwenye dhambi zangu kwa siku tatu nne...
6 Reactions
168 Replies
33K Views
Mimi na nikawaida kwa wanaume wengi huwa tunachepuka lakini kwanini msichana akichepuka huwa inaniuma sana. Naomba kujua kwanini wasichana wakichepuka huwa wanaume inawauma sana. Karibuni tuchangie
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari za siku wana jamvi, Nimekuwa kimya muda mrefu hii ni kwa sababu ya majukumu yaliyokuwa yamenibana.Tumekuwa tukishudia au watu kuleta mada hapa juu ya kuumizwa au kutotimiziwa mambo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mfano wewe ni mwanaume na imetokea mna maelewano mazuri tu na X wako na baada ya siku kadhaa za mawasiliano kaweka DP whatsapp ujumbe huu. "Sometimes giving a second chance to someone is like...
1 Reactions
83 Replies
21K Views
Bad decisions have ruined many a man's life. You can avoid heart piercing regret by thinking things through before you act. A fundamental understanding of the female psyche is a must for all...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu natumaini mko poa, baridi mnalisongesha kama kawaida. Leo ngoja niwaambie kitu fulani kwa wale wanaoumizwa na michepuko/wapenzi/wake kwa kutoka nje ya mapenzi yao, katika mahusiano wengi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wanaJukwaa pendwa MMU, Nipo mbele yenu siyo kuhukumiwa bali kuomba ushauri kwa hili jambo ninaloliteta mbele yenu.Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye katika mahusiano yapata miaka...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Nahitaji mwanamke mzuri na mwenye kazi yake anapata kipato chake, mimi nina umri wa miaka 28 sina mwanamke kama yuko ambae yuko tayari kuwa na mimi anicheki ibox.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchat naye na kubadilishana mawazo umri wangu 26yrs.
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Kuna binamu wa wife kaja kutoka moshi kwa kweli kaumbika sana.Sasa usiku nilinyata hadi chumbani cha wageni anamolala, wife alikua anakoroma wakati huo. Nilishika elfu 30 mkononi nikagonga mlango...
2 Reactions
121 Replies
13K Views
Umri kuanzia miaka 22 na kuendelea, awe mkrsto. Anicheki whatsapp 0713578805
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza naomba mnikaribishe mimi ni mgeni humu Husika na kichwa cha habari, nimekua nikijiuliza hili swali kwa kipindi kirefu sana bila majibu. Mimi na mke wangu tulifunga ndoa ya Kanisani miaka...
4 Reactions
122 Replies
17K Views
Back
Top Bottom