Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,878
- 10,515
Umesahau birth day yangu???? as mwenza ulikuwa ukimpelekea keki/maua/zawadi kabla ya kutengana
Hata kunipigia na kunisalimu kwani mekukosea nini? ina maana lengo lako lilikuwa kugegedana tu
Me patwa na matatizo hata kuja kunijulia hali?
..
Etc
SWALI: Je kuna umuhimu wa kuendelea kuwa na mawasiliano hata kama wapenzi mmeachana?