Naomba ushauri kwa yeyote yule MMU,
Ninafanya kazi na mkaka ambaye tulikua wapenzi na sasa tumeachana. Kila ninapomuona nakumbuka mengi na mbaya zaidi tuko department moja kila siku tunaonana...
Mkiwa wapenzi ipo siku itatokea mara chache kutofautiana kwa maana ninyi si malaika. Mantiki ni kwamba hata kama mnapendana kiasi gani, haiwezekani kila siku wote mkawa mna mawazo ya aina moja...
Mara kwa mara wadada wamekuwa wanawalalamikia wanaume kwamba hawawaoi kwamba siku wanawachezea na kuwaacha bila kujua wao ndio tatizo na chanzo cha kuchezewa. Wanawake siku hizi wamekuwa rahisi...
Niko na mchepuko na rafiki zake wa wili yan wako kama komba wanagida mvinyo kama wametukania leo.Mpaka saa hizi saa23:00 pm. Wameshatafuna laki unusu yani 150,000/
Na bado wanaonesha wako hai...
Wakuu habari,
Mimi na mke wangu tunaishi maisha ya furaha, tumebarikiwa watoto wawili mapacha, mwanzoni mwa mwaka huu tumehamia kwenye nyumba yetu, plot hii ni wife ndio alinionesha na akasema...
Habarini wanajamvi,
Nimeamua kuja na ID ngeni hapa, kwa unyeti wa suala lenyewe, ikizingatiwa kuwa nina miaka saba hapa JF tena ni verified user, sio kawaida hili ninalotaka kunena leo nikawa...
Unakuta umezaa na mdada mtoto mmoja uliyemzidi umri kama miaka kumi, unaamua kuishi nae wakati mnasomana tabia unamsauri aongeze elimu kidogo anakataa anaaanza tabia ambazo hata usuluhishe mara...
Habari za mchana,
Mimi ni mama wa mtoto mmoja, nilianza kuishi na huyu baba baada ya kupata uja uzito. Nilikua kwenye mahusiano ya uchumba kwa miaka 3 na mtoto kwa sasa ana 2 years, ila bado...
Habarini wadau,
Mwanaume anayejitambua hayafanyi haya yafuatayo:-
-Kwanza hatumii maneno haya Mie, Aibu naona mimi, Nimekumisije, haloo, jamani, Inahuu, Chezea...na mengine ya hivyo
-Hafurahii...
Wakuu habari,
Jana nikiwa nimejipumzisha sebuleni majira ya saa moja na nusu nilisikia sauti za kujiapiza kupitia dirishani. "Nitakumaliza, usinichezee, wewe hunijui vizuri, endelea...
Habari watakatifu wote wa Jf,
Najua kitambo sana sija salimiana nanyi so naombeni huduma ya kwanza katika maisha yangu, nilikuwa napenda kupiga punyeto/kujichua hili swala liliniathiri hadi...
Salamu wadau,
Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.
Wakuu nawasalimu wote,
Baada ya kuhangaika na wasichana wa kazini kwangu kwa muda mrefu bila mafanikio nikaona nibadilishe hali ya hewa, nitoke nje ya shirika kidogo. Nikapata binti mzuri na...
Mambo ya walawi 20 mstari wa 10 mpaka 17;
10;mtu azinie na mke wa mtu mwingine naam yeye azinie na mke wa jirani yake mtu mume azinie na mtu mke azinie hakika watauwawa 11;na mtu mume atakelala...
JF habari,
Kwanza nina hasira sana, nimezaliwa miaka 24 iliyopita nimelelewa na mama tu, siku zote akisisitiza kuwa baba yetu alikufa Kabla hatujazaliwa (tupo mapacha ).
Nikiwa mwaka wa kwanza...
25 ndio miaka yangu, Richie ndio jina langu, Tabata ndio makazi yangu, natafuta mwanamke anayejua thamani ya kupendwa na anayejua kupenda kujali, sichagui umri maana umri ni namba tu.
Kwa...
Wana jf nilikuwa najiuliza tangu muda mrefu sababu ya wanaume wengi kupenda wanawake wanaolia wakati wa kugegeduliwa kumbe ni watamu na wanaleta msisimko maana dah aisee kweli mapenz ni matamu.
Kichwa cha habari hapo juu kimeshajitosheleza hivyo kama kuna dada atakayekuwa tayari na kukubaliana na hali yangu hiyo ya kipato na atanivumilia nitafurahi kwani naamini endapo nitampata mwenza...
Wakuu nawasalimu,
Mke wangu alipata matatizo ya kikazi miaka miwili iliyopita, kwa kifupi alipoteza kazi yake kutokana na makosa ya kiutendaji
katika kushauriana ndani tukafikia maamuzi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.