Ushauri tafadhali

Ushauri tafadhali

kinjumbi one

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Posts
1,696
Reaction score
2,159
Salamu wadau,

Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.
 
Mpe mshahara wako wote ikiwa bado ataendelea kuwa kichwa ngumu acha kazi!
 
Hujaamua tu mbona rahisi

kwa mfano? c unajua watu mliozoena na alikualaghai anakupenda kweli anakuoyesha mahaba ya uhakika. ghafla anakubadilikia tena kimyakimya ni vitendo tu bila kukutamkia. nifanyaje
 
Hebu fuata ushaur wa KikulachoChako concentrate na kazi zako
 
Last edited by a moderator:
Salamu wadau,

Ikiwa mwanamke unampenda sana na unaona anakuzingua na mnafanya sehemu moja, nitumie njia gani kumwacha na kumsahau. Maana naona upendo wangu kwake nateseka sana.

tafuta mwingine bora zaidi yake.
 
Kubali yaishe kijana.....kwanza utampendaje mtu mnafanya sehemu moja?labda kama ni wewe ndio bosi sawa ila kama wewe ni staff uko chini ya bosi hiyo ni mistake umefanya maana kama na bosi anamtaka mkiingia kwenye ligi we unapigwa knock out....so achana naye katafte mwanamke sehemu nyingine huko mbona wapo kibao.
 
Umesahau siku unapewa kazi ulidhaminishwa na nani..... Nenda kapitie mkataba wako wa kazi utagundua.... Pia usisahau kuna vijana wenzio wenye uwezo hata zaidi yako wanapasha nje.
 
Kuwa busy na mambo yako jichanganye na wadada wengne hapo ofsn uwe una wapa sapoti kila mnapo ongea jambo lolote ucheke na uwe happy tena ukimpata mwandani umtambulishe nae amuone kisha uje ulete mrejesho kama hajakununia na kuhaha hapo ofisini.
 
Kubali yaishe kijana.....kwanza utampendaje mtu mnafanya sehemu moja?labda kama ni wewe ndio bosi sawa ila kama wewe ni staff uko chini ya bosi hiyo ni mistake umefanya maana kama na bosi anamtaka mkiingia kwenye ligi we unapigwa knock out....so achana naye katafte mwanamke sehemu nyingine huko mbona wapo kibao.
tunfanya issue zetu binafsi sema ktk eneo moja. so hatuna boss.
 
Muone hana nguvu kwako, usifuatilie ishu zake, kama hakuna ulazima wa kuwa na namba yake basi DELEATE, kama muna group chat, jitoe kwa muda.
Kwanza si unamjua tayari, ona wa kawaida tu, shida ni kama hujawahi kuwa na mahusiano kabla, lakini kama ilikuwa, basi toka kama ulivyotoka huko ulikoanza, tafuta na kasoro aliyonayo, ikuze zaidi uone ulikosea kueanae
 
dah! asante sana sana ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom