Vipi wakuu,
Nauliza kina dada haswa wa hapa Dar, huwezi kumtongoza binti bila kukuuliza kazi unayofanya. Yaani before aseme no ama Yes, she must ask your job description. Hivi kwanini? Naogopa...
Mimi ni mgeni hapa ndani naombeni mawazo yenu,
Ninamchumba ambaye alikuwa nchi za Waarabu kusoma, sasa karudi nyumbani nimegundua alikuwa anampenzi wa hizo nchi akamfundisha mambo ya kufanya...
Habari zenuuu, wakubwa shikamoonii! 😀
Yaliyonikuta acha niwasimulie pengine inaeza ikawa somo kidogo!! Basi bana kuna kimtandao flani ivi kisocial network.. Picha nyingi sana nimetupia...
Nimeishi naye tangu 2006, kabla sijamuoa nilifanikiwa kujenga kinyumba changu huko kijijini. nikamuoa na nikapata kazi kagera sugar. lakini kila siku vitimbwi, anachelewesha chai, mara twende...
Nikitazama ndoa za Vijana wenzangu daah aisee naweza ua mtu. Hapa mtaani kuna mpangaji mwenzangu amekosana na mke wake usiku wa manane.
Asubuhi ya leo jamaa kaenda kazini, mchana huu msichana...
Ume uza ng'ombe,gari na nyumba kisa kumsomesha mpenzi wako ili baadae muwe na maisha mazuri anaye enda kusomea udactari nje ya nchi.
Baada ya miaka mitano unapata taarifa anarejea nchini...
Nimekua nikichunguza haya mambo ya mapenzi kwa muda mrefu na haya ndio majibu yangu;
1. Kuna watu hawana uzuri wowote lakini wanamvuto wa nguvu kwenye mapenzi (sura mbaya, mweusi tii, yupo yupo...
Wadau ni sawa kwa mwanamke kumwambia mpenzi wake kuwa anajitikia kufanywa? Au huwa ni tabia ya kikahaba?
Maana imenitokea kwa mdada mmoja ananipigia simu mchana nikiwa job na kuniambia kuwa...
Habari wana JF,
Niwape pole kwa majukumu ya kila Siku, katika ujenzi wa taifa letu.
Kama heading inavyojieleza hapo,nilijikuta niko katika wakati mgumu baada ya kuulizwa swali hilo na rafiki...
Habari Wakuu,
Najitokeza kutafuta mke wakuoa, mimi ni mwanaume rijali naishi Dar. Sifa zangu situmii kilevi chochote. Ni maji ya kunde, mwenye umri wa miaka 32, sina mtoto.
Nimtafutae awe na...
Habarini wana Jf,
Leo wakati natoka shambani nikakatisha mtaa mmoja hivi kwa mbaali nikasikia sema 'Mungu nisaidie' sauti nyingine inajibu 'Mungu nisaidie' nikajiuliza humu ndani kuna maombezi...
Wakuu habari za leo,
Kwanza tu nitoe taarifa kuwa humu kuna watu wengi wanataka kuoa na wengine wanata kuolewa. Mimi baada ya kutoa tangazo langu lile la kuwatafutia jamaa zangu wake, karibu...
Habari za jioni ndugu zangu, polen na mizunguko ya kutwa,
Ishu yangu ni ndogo sana lakini kila napozidi kuitazama kwa mapana naona si jambo dogo sana, ndio maana nipo mbele yenu hapa nifunguke...
Wakati wa likizo nikiwa mwaka wa kwanza kwenye chuo kimoja kikuu wakati wa likizo nilikuwa na utaratibu wa kufundisha masomo ya ziada, nilijipangia ratiba ya kwenda kumfundisha kila mwanafunzi...
Katika kusaka tonge shughuli zangu kwa mwezi uliopita zilinifikisha Wilaya ya Manyoni mji mdogo wa Mitundu. Kama kawaida macho hayana pazia, niliona chombo cha uhakika na Bila ajizi nikatupa...
Nimejifikiria sana mwisho nimefikiria yafuatayo;
1.Biblia inasema kutozaa ni zambi.
2.Ukizaa nje ya ndoa ni zambi.
2.Ukioa mke zaidi ya mmoja ni zambi
Sasa wanaume ni wachache Duniani na...
Hapa ninapazungumzia Changanyikeni wadau, huu mtaa upo nyuma ya chuo kikuu cha Dar es salaam. Huo mtaa una wanawake wengi sana kuliko wanaume, hivyo demand ni kubwa kuliko supply.
KWANINI...
Heshima kwenu,
Naombeni mnijuze, hivi ni haki kweli kuishi na mkeo hata kama anakufanyia vituko na vitendo visivyo vyakiutu eti kwakuwa mliambiwa mkae pamoja mpaka kifo kiwatenganishe?
Kazi kwenu
1. Jamaa ampa talaka mkewe kwa kuonyesha aibu kubwa na kugomea unyumba kwa mwaka mzima
Mahakama moja huko Tainan (Taiwan huko) ilikubali maombi ya bw. Chen 38 kumlima talaka bi. Lin 29 (wote...
Miaka minne tangu niachane na aliyekuwa mpenzi wangu, Mwanaume ambaye nilizani ndiyo Omega wangu. Kweli mapenzi yanaumiza sana, naomba niwe mkweli Leo sababu ilifika kipindi nijiue. Mimi najua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.