Tujikumbushe neno la Mungu

Tujikumbushe neno la Mungu

hill and portion

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
1,236
Reaction score
744
Mambo ya walawi 20 mstari wa 10 mpaka 17;

10;mtu azinie na mke wa mtu mwingine naam yeye azinie na mke wa jirani yake mtu mume azinie na mtu mke azinie hakika watauwawa 11;na mtu mume atakelala pamoja na mke wa baba yake wote wawili hakika watauwawa damu yao itakua juu yao 12 mtu mume akilala na mkwewe mwanamke wote wawili hakika watauwawa wamefanya yaliyo machafu damu yao itakua juu yao13 tena mtu mume akilala na mtu mume kama alalavyo na mtu mke wote wawili wamefanya yaliyo machukizo hakika watauwawa na damu yao itakua juu yao 14 tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake ni uovu mkuu watachomwa moto yeye mume pamoja na hao wanawake pia ili kwamba kusiwe na uovu kati yenu tena mtu mume akilala na mnyama hakika atauwawa nanyi mtamuuwa huyo mnyama 16 tena mwanamke akikaribia mnyama yeyote na kulala pamoja nae mtamwua huyo mwanamke na mnyama pia17 tena mtu mume akimwoa umbu lake binti wa baba yake au binti wa mama yake na kuuona utupu wake na huyo mwanamke kuuona utupu wa huyo mwanaume ni jambo la aibu watakataliwa mbali mbele ya macho ya wana wa watu wao nae atachukua uovu wake

Barikiweni sana.
 
Hiki Ni Kitabu Gani Mbona Kama Inafanana Na Zile Sheria Za Boko Haram Na Arabia Kupigwa Mawe Mpaka Kufa
 
Biblia hiyo lakini wanaadamu wameamua kuchagua kufuata wanayoyataka na kuacha wasiyoyataka .Unafiki mkubwa. Agano la kale lina sheria ndio maana halifuatwi isipokuwa amri kumi za Mungu.
 
Mambo ya walawi 20 mstari wa 10 mpaka 17;

10;mtu azinie na mke wa mtu mwingine naam yeye azinie na mke wa jirani yake mtu mume azinie na mtu mke azinie hakika watauwawa 11;na mtu mume atakelala pamoja na mke wa baba yake wote wawili hakika watauwawa damu yao itakua juu yao 12 mtu mume akilala na mkwewe mwanamke wote wawili hakika watauwawa wamefanya yaliyo machafu damu yao itakua juu yao13 tena mtu mume akilala na mtu mume kama alalavyo na mtu mke wote wawili wamefanya yaliyo machukizo hakika watauwawa na damu yao itakua juu yao 14 tena mtu mume akimwoa mke pamoja na mama yake ni uovu mkuu watachomwa moto yeye mume pamoja na hao wanawake pia ili kwamba kusiwe na uovu kati yenu tena mtu mume akilala na mnyama hakika atauwawa nanyi mtamuuwa huyo mnyama 16 tena mwanamke akikaribia mnyama yeyote na kulala pamoja nae mtamwua huyo mwanamke na mnyama pia17 tena mtu mume akimwoa umbu lake binti wa baba yake au binti wa mama yake na kuuona utupu wake na huyo mwanamke kuuona utupu wa huyo mwanaume ni jambo la aibu watakataliwa mbali mbele ya macho ya wana wa watu wao nae atachukua uovu wake

Barikiweni sana.

Hivi, hii huwa ina include na ile michezo ya utotoni? maana utotoni unaweza cheza na ndugu yako hii michezo, sasa sijui pia uko kwenye hili group, huwa sielewi kwa kweli. Maana utotoni hasa sisi tuliozaliwa maeneo ambayo ni ya kuoga mwaloni (ziwani), ni taabu. Hii kitu tulifanya sana. hahahha
 
Hhhhaa kwa kwel mtu mpaka afikie hatua ya utu uzima tunapitia mengi saanaa ambayo tunatenda dhambi kwa kutambua na kutotambua yatupasa kuomba toba na msamaha kila iitwayo leo
Polen kwa mwandiko mbaya natumia simu
 
Back
Top Bottom