Mara kwa mara wadada wamekuwa wanawalalamikia wanaume kwamba hawawaoi kwamba siku wanawachezea na kuwaacha bila kujua wao ndio tatizo na chanzo cha kuchezewa. Wanawake siku hizi wamekuwa rahisi mno yaani dada zetu hawa ukiwambia unawapenda wanalegea kama mlenda na kama una vijesent ndio kabisa wanakufia.
Kila unachokitaka utapewa yaani mtu hujaolewa unaachia kwa mwanamme kana kwamba umefunga nae ndoa kila akikuhitaji anakupata lini atakumiss ili akuweke ndani, yaani masaa yote upo kwa mwanaume unapika na kupakua kama vile umeolewa ukitoka hapo mnakuja kulalamika wanaume wanawachezea.
Mbaya zaidi siku hizi hata kuzaa mnakubali kuzaa bila ndoa sasa mwanaume atatamani nini ili akuoe na kama hamjui mnavyozidi kujirahisi kwa hao wapenzi wenu ndivyo wanavyowachoka.