Mambo,
Natafuta mpenzi wa kike hapa awe ni mkazi wa Mara tu na si vinginevyo. Kwa aliye tayari anitumie namba ya simu pia awe na umri usiopungua miaka 29, ndoa inaweza kuwepo kama tutaelewana.
Women on average sleep with two men in their lifetime, while a man will bed seven, the latest Kenyan Demographic and Health Survey has claimed.
Many Kenyans are however questioning the validity...
Naomba kuwauliza wenye uzoefu, nategemea kufunga ndoa kwa kufanya harusi, lakini baba mkwe aliniomba kwamba harusi ifanyike kwao ili aweze kumfanyia binti yake sherehe. Sasa naomba kuuliza...
Mwanaume kamili lazima umpe mwanamke hela. Miaka ya nyuma ulipata msichana umekahonga gari na madude kibao alafu kakakutosa sasa hivi moyo wa kuhonga umekwisha kabisa.
Umri unakwenda umeamua...
Hapa ndoa hainogi, kapata umbea kutoka kwa rafiki yake, kumbe aliniona na ule mchepuko na wale maparasite wenzie
hapa home kimenuka, hapanogi kibaya zaidi yeye nilimwacha Dodoma mi nikaja kuponda...
Habari za weekend wanajamvi,
Nimepangiwa kusimamia kazi fulani njiani Arusha kwa muda wa miezi 10. Ili kupunguza gharama nimeona ni vyema nikapanga nyumba badala ya kuishi hotelini. Nimemwambia...
Habari wanaMMU.
Kama kumbukumbu zenu zipo sawa ni kwamba nilianzisha thread hapa nikizungumzia suala la mpenzi wangu wa kike kunisaidia kifedha bila kuchoka. Ninashukuru kwa kila aina ya ushauri...
Wakuu,
Ni kwanini mtu unapotoa kadi za mialiko ya harusi watu huwa hawafiki kanisani hata siku moja yaani kanisani watajaa ndugu zako tu lakini waalikwa wote uliowapatia kadi watafika ukumbini...
Huyu msichana yani nipo nae kwa miezi 4 sasa tatizo ana penda kununa na kukasika kwa vitu vidogo yani mpaka nakereka yani ana weza kununa kwa kitu ambacho akina hata msingi tatizo kinacho nishinda...
Ni bora uwe na masiliano ya karibu na mzazii mwenzio au bora muwasiliane mara 1 kwa mwezi? Maana mzazi mwenzangu ananipigia x3 kwa siku kila siku na wala haonyeshi dalili ya kuishi na mimi.
Hii...
Kuna ishu moja hapa kuhusu dada zetu uwa inanichanganya sana, wanawake na wasichana wanapenda sana kudanganywa danganywa kuliko ukimwambia ukweli na kama ukimwambia ukweli lazima atanuna wiki...
Wakuu,
Kuna habari zinaenea kwa kasi sana juu ya wanaume wa Rombo kushindwa kuwahudumia wake zao haswa kwenye tendo la ndoa, kitu kilicholazimu wakenya kuja kusaidia. Hili tatizo kwa Rombo si...
Kuna jamaa mmoja amewaliza madada wengi hasa amewengana sana na wa chuo kwanza yeye hana haraka na style zake za kuwaliza watu zinafana ila wadada wengi hawaongei kwasababu wanaogopa kuchekwa...
Nashangaa sana, sawa amesoma, kazi nzuri, gari ya kutembelea but why brag about it? why showing off? Huu ni udhaifu mkubwa ulionipelekea kuelewa kuwa mwanamke hasa wa karne hii anajitahidi kutaka...
Nimekuwa na mwanamke ana mtoto wa mwanaume mwingine na jamaa alitelekeza mimba ya miezi minne bila hata notisi. Sasa nmekuwa na mtoto na mama ake kwa mda mrefu na hivi karibuni nmeanza kusikia...
Nadhani kuna tatizo mahali au ndio uhuru wenyewe, katika mada 10 zaidi ya nusu zinaelezea juu ya wanaume kulalamika kuhusiana na tabu, shida katika mahusiano kwa mfano juu ya michepuko.
Hivi...
Sorry,
Mimi natafuta mke humu Jf, nina miaka 24,sichagui dini wala kabila,natumaini kuwa nitampata tutakaependana next namaliza chuo hivyo nahitaji wa kuwa naye am tired 2b alone.
Wakuu habari za mida,
Jana jioni nilipotoka kazini nilipitia recreation place moja hivi nipate moja moto moja baridi wakati nikisubiri foleni iishe ingawa sina Gari ila kwa kawaida ikifika saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.