caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 157
Wakuu nawasalimu wote,
Baada ya kuhangaika na wasichana wa kazini kwangu kwa muda mrefu bila mafanikio nikaona nibadilishe hali ya hewa, nitoke nje ya shirika kidogo. Nikapata binti mzuri na mrembo sana, shughuli zake ni mfanyabiashara, yeye husafiri kufuata vitu mbali mbali na kuleta kuuza hapa Dar, vitu hivyo huvinunua Dubai, Thailand, istanibul na Hong Kong mfano ni nguo za kike na za kiume na vitu vingine mbali mbali.
Huyu binti ndie hutuletea na kutuuzia nguo kazini kwetu wanawake kwa wanaume pindi akirudi na mzigo kutoka arabuni au Hong Kong ni katika kutuletea nguo ndipo nilipomtongoza na akanikubali, sasa hivi tuna miezi kama minne hivi kwa relationship. Ingawa mimi nilikua na binti hapa kazini lakini hakua akinipenda ni kama nilikua na force hivi so tukashindwana na nikaendelea na huyu mfanyabiashara.
Tatizo:-
Tatizo la huyu mfanyabiashara ni kuwa, juzi juzi nimekutana na mshkaji mmoja Mwarabu anasafiri sana dubai ,tulikua pamoja na huyu demu, tukaongea kidogo mshkaji akasepa baadae akanipigia simu akaniambia huyo ni demu wako nikamwambia hapana ni friend, akapumua kidogo akasema afadhali, akaniambia yeye na washikaji zake wameshapiga sana pale, kwamba demu ana group yake ya kibiashara wakifika Dubai huwa hawalali hoteli hufikia kwa mabwana zao wenye mageto huko ili kuokoa gharama mtaji usikate.
Kwa kweli nimekata tamaa sana, nilitegemea something like marriage will materialise katika uhusiano huu.Nimezungumza nae kuhusiana na tetesi hizi surprisingly hakukanusha, alichoniambia tu ni kwamba sasa hivi yeye hafanyi mambo hayo, aliyafanya zamani wakati anaanza biashara ya kusafiri maana mtaji ulikua mdogo baadae aliacha mtaji ulipokua mkubwa.
Hivyo anaomba nisimwache kwa taarifa hizo za zamani.Yeye kwa sasa anataka mm na yy tu settle down and have a family of our own. Wadau bado akili yangu ina mashaka sana na huyu binti, sio kwamba nimeshamshika na mtu au la bali ni shuhuda za watu kuwa wasichana wenye kusafiri kwenda arabuni wanakua malaya sana.
Hofu nyingine ni uwezo wake kitandani, hata nikisema niwapange wanawake wote niliowahi kuzini nao hawawezi kumfikia huyu binti kwa vyuma vizito mno alivyo navyo.Swali langu amevijuaje hivi vitu? Nani alimfundisha na amepata wapi uzoefu huo?Wakuu inafikia pahala nalia kama mtoto kitandani Kayajulia wapi haya kama sio huko Dubai?
Naomba msaada wenu wa mawazo
NB: Haombi hata senti amejijenga kuliko Maelezo, wazazi wake wanaishi Tanga hakusoma, aliishia form four.
Should i be worried about all these?
Help please