strong woman
Senior Member
- Jul 11, 2013
- 131
- 37
JF habari,
Kwanza nina hasira sana, nimezaliwa miaka 24 iliyopita nimelelewa na mama tu, siku zote akisisitiza kuwa baba yetu alikufa Kabla hatujazaliwa (tupo mapacha ).
Nikiwa mwaka wa kwanza chuoni ghafla baba huyu alitokea nikaonana nae akasema garama zote za Chuo atalipa sasa mimi sikuwa na mkopo hivyo nilihitaji fedha zaidi, akawa ananikwepa sana mwishoe mama (RIP) akaingilia akasema atamaliza kunilipia Shahada kama alivyoanza kunilipia chekechea.
Lakini mambo ya Mungu mama akatangulia mbele ya haki 2013 January, nikamwambia baba huyu akasema yupo bize, na wala hatoweza kuhudhuria mazishi, then akapotea lakini mimi nikawa namtafuta sana, akawa hajali nikafuta namba zake.
Sasa mimi nimepata mchumba na nataka kuolewa, nimepata namba yake kutoka kwenye document za mama nimempigia nikamweleza yaani amerespond kama vile mimi sio damu yake nimeumia sana, nahisi kumpenda walau kidogo lakini naona haiwezekani kupata hata ushauri kidogo kutoka kwake nimeumia sana.
Naombeni ushauri wana JF