Bwana harusi hajaanza vikao, bibi harusi kaanza vikao

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
Wakuu,

The heading above is selfu explanatoryi,

Bwana arusi hana sababu za msingi zaidi ya kusema eti hana pesa ya maandalizi so wafunge tu ndoa basi warudi home bibie walishaanza vikao vya kitchen party na send off tayari kufanyika mwezi wa nane katikati, bibi arusi hajawafaamisha wazazi kuhusu upande wa kijana bibie kadata.
 
Huyo mwanamke aache mchecheto. Sio lazima sherehe, ndoa aliokuwa anaitaka ashaipata.

Sherehe kipaji, sio kila mtu anaziweza mbwembwe.
 
mkonowapaka

Ila sioni tatizo lolote hapo maana hizo kitchen Party na Send Off hazihusiani na Harusi kabisa... So bibi harusi anaweza kuendelea na shughuli yake afu siku ya kufunga ndoa... Wakitoka kanisani kufungishwa wanarudi zao nyumbani tu
 
Last edited by a moderator:
Jamaaa shida yake mke tu. Kama jamaa asinge lipa mahali binti ndo achanganyikiwe ila sio hilo
 
mkonowapaka

haina shida maana hizo sherehe ni za upande wa bi harus, so mwanaume hagharamii chochote,
 
Last edited by a moderator:
Furaha kwenye ndoa ndo mpango mzima. Harusi na sberehe kubwa ya kukamua pesa lukuki na kupoteza muda wa kufanya kazi kwa ajiri ya vikao ni Mbwembwe tu.
Nampa big up sn huyo jamaa
 
Bwana harusi nenda tu siku ya sendoff ukajichane na ndugu zako, halafu waambieni upande wa bi harusi reception itafanyika siku moja na birhday ya mtoto mtarajiwa.😆
 
Kama vipi wachanganye iwe moja. Arusi na sendoff iwe ndiyo hiyo. Mambo jikoni party hayo mengine tena.
 
wengi mnaochangia hapo juu hamjaoa na kama ni mwanamke wivu umewajaa...
 
Acha umbea wakike wewe mkonowapaka
Mambo hayakuhusu umeshupalia kama yakwako, sasa unatwambia ili tufanyaje!?
Wakuu,

The heading above is selfu explanatoryi,

Bwana arusi hana sababu za msingi zaidi ya kusema eti hana pesa ya maandalizi so wafunge tu ndoa basi warudi home bibie walishaanza vikao vya kitchen party na send off tayari kufanyika mwezi wa nane katikati, bibi arusi hajawafaamisha wazazi kuhusu upande wa kijana bibie kadata.
 
wadada na wazazi wa aina hii huwa wanaboa sana.
wazazi wa siku hizi sijui wakoje, wanawaza sherehe tu na zawadi za siku ya sherehe.
hakuna anayewaza maisha ya watoto wao yatakuwaje.

hii ilimkuta ndugu yangu mmoja.
walikubaliana na mkewe kubariki ndoa kwani washatiana mimba. wakitoka church wanaenda zao home.
baadaye tunasikia kuna vikao vya send off bila hata mume kujua kinachoendelea.

wazazi kumfanyia mtoto sherehe kubwa sio zawadi ni mashindano ya siku moja tu yanapita.
ukimpa mwanao mtaji wa kuanzia maisha atakukumbuka siku zote.

TUACHE MAJIVUNO NA MASHINDANO YASIYOKUWA NA MANUFAA
 
huyu binti atakuwa yule wakwenye watsup aliyevishwa pete akazimia:msela:

Mkuu

Badala ya kuchangia posti nimejikuta nimetumia kama dk 15 kuishangaa iyo avatar yako...

Hahahaa Kuna huyo anayegongesha kimba kwenye bodi kama mcheza basket vile!
 
Ye anaandaa kitchen party na sendoff tatizo liko wapi?

Hata mie hapa sijaona tatizo.. Kitchen party na sendoff zinamuhusu yeye bi harusi na nduguze.. Jamaa asubiri yeye siku ya ndoa waende church wakafungishwe ndoa na kurudi home.. Sidhani kama ni tatizo.. Huyo bwana harusi aache kumbwelambwela mapema hivi lol..
 
Sioni shida iwapo wao wamekubaliana kufanya hivyo kulingana na mazingira yao.
 
Back
Top Bottom