Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Serious nahitaji ushauri nifanyeje ili niondokane na hili

Baba Erick

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
483
Reaction score
75
Habari wana MMU,

Ni mda mrefu sijaja jamvini kuongea nanyi ila leo imenilazimu kwasababu nina tatizo linalonisumbua sana. Mwaka juzi nilianzisha mahusiano na dada mmoja hapa Dar na baada ya muda alinieleza ukweli baada ya kunificha kwa muda kuwa yeye ni mke wa mwanajeshi na ana watoto wawili na mme wake huwa hamridhishi na ndiyo sababu ameamua kuwa na mimi kwa sababu namridhisha na hajawahi enjoy mapenzi kwa kiasi hicho tangia azaliwe.

Mapenzi yetu ya wizi yalikolea na kutokana na mme wake kwenda Sudan kikazi basi tulijiachia sana mpaka kufikia hatua binti akatoroka kwake akahamia kwangu ila bwana yake aliporudi ikabidi arudi kwake na watoto aliwapeleka Mwanza ukweni. Kinachonisumbua ni kuwa tangia mwezi wa kumi na mbili binti amenitegesha ujauzito na alishabeba mimba mara mbili ila kila mme wake akijua anamlazimisha kutoa na kumwambia kuwa hayukotayari kulea.

Nilipoona haya yamejiri nilimwambia binti tuvunje mahusiano nikabadilisha na namba za simu. Alipoona hayo alichukua vitu vyake na kuhamia kwangu nikiwa kazini nikamkuta nje, leo ni siku ya nane yupo kwangu.

Jamani mie nakufa, naomba mnishauri wadau nifanyenini
 
Jamani hebu tuwe serious basi mbona mnanitishia na siyo kunishauri
 
Fanya mambo mawili; moja nunua mafuta ya mtelezo utembee nayo mfukoni saa zote ka kibobo cha ugoro. Huyo mjeda akikukamata umwombe ayatumie asiingie kav kav. Mbili, chimba kaburi lako tiyari umwonyeshe huyo mwanamke kuwa mmewe akiisha kukuua wakuzike hapo ulipo jiandalia.

Acha na pesa za misa ya wafu kwa baba Paroko. Kumbafuuuuuu. Wanawake wote Tz tena wamewazidi namba wanaume. Twaweza jipatia wanawake 4 na tusiwamalize unaenda kufia mke wa mtu tena used.Wala usijutie hizo mimba zilizong'olewa kwani hiyo mbegu yako ni hasara kabisa
 
Jamani hebu tuwe serious basi mbona mnanitishia na siyo kunishauri

Mwenzako alipigwa finga za macho na ngumi mbili chali, si uanajifanya unajua kugegeda aka kucheza kiliwang'zenza subiri. jamaa hawana akili sawa wale unafikiri hajui kuwa unamgegedea mke wake, kimbia huo ndo ushauri wangu toka nduki mapema
 
Duh!! Aisee unaloweka kwa mke wa njeshi? Looh unalo aisee
 
Sasa ameingiaje kwako Ikiwa hujampa ufunguo wa nyumba....?? Muda mwingine wanaume tunafanya ujinga wa kipuuzi kabisa...
 
Nyumbani ninakaa na dogo mmoja na dogotulimficha kuwa huyundiyo mchumba wangu ndugu kwahiyodogo anaona kamando mama mwenye nyumba amehamia
 
cha msingi kuanzia ss zidisha ibada na kutoa sadaka kwa wingi maana siku zako za kuish zinahesabika nausiombe huko sudan ameend alafu haja ua mtu hata mmoja kwenye vita
 
Back
Top Bottom