Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Mazee Asilimia >kubwa ya nyuzi za wa-mmyu ni kuchepuka & kuchepukIKa...hiili inaonyesha ni kwa namna na hali gani 'ma-super animals-watu' WANAVYOCHEPUANA kwa kasi na ari mpya kabisa kabisa.
Wapendwa kwa hii staili ya
+chepua nikuchepue+
kama kubadilisha bodaboda na daladala...
SODOMA NA GOMORA WAKALALE!
Dooh..Kizazi cha nyoka ni motoo...hahhaaa..mxuuu....
Wapendwa kwa hii staili ya
+chepua nikuchepue+
kama kubadilisha bodaboda na daladala...
SODOMA NA GOMORA WAKALALE!
Dooh..Kizazi cha nyoka ni motoo...hahhaaa..mxuuu....