makolola
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 765
- 290
Najiuliza kufanya mapenzi ni kitu ambacho ni lazima kwa mwanadamu au hiari? Pia najiuliza kwa nini wanaume wanapenda tendo hilo ingawa huwasababishia kutoka jasho, kiu na mwili kupungua nguvu?
Pia wanawake nashangaa nao maana hulia lia mara usiingize yote alafu unakuta kajieta mwenyewe geto. pia hutoka jasho na mwili kuchoka kwa tendo hilo.
Hili suala kweli lina ulazima? kama upo mbona watu wanatamani adhabu/kazi ambayo itawasababisha kunywa maji au kupumzika?