Mke anahitajika

Mke anahitajika

ASHUA

Member
Joined
Jun 16, 2015
Posts
21
Reaction score
7
Wana Jf,

Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa PM.

Karibuni
 
Duuu mie nimepitwa kwa miaka miwili tuu,haya Good luck wenye bahati zao..
 
I said it once and i'll say it again, mtu aanzishe agency ya kukutanisha watu wanaotafuta wenza wa maisha bongo, the demand is there.

Back to the topic, kila la kheri Bro.
 
yupo bint mmoja kwa umbile yuko poa sana ukimuona utampenda. ana miaka 29 ila ana watoto watato ( 3) aliezaa na bwana mmoja bila kufunga ndoa kwa sasa wameachana. atakufaa?
 
haya matangazo muwe mnayatoa na kwenye magazeti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom