Mgeni zuberi
Member
- May 17, 2015
- 18
- 1
Natafuta mke wa kuoa aliemaliza starehe zote.
starehe gani??
mke haolewi
...Afu Rubii Naomba Unitafute Nicheck Hapa 0719271039.
za ujana,kama kukesha kwenye vigodoro,kumangamanga mitaani nk.
starehe gani??
za ujana,kama kukesha kwenye vigodoro,kumangamanga mitaani nk.
natafuta mke wa kuoa.aliemaliza starehe zote.
No 0688369908 kwa mawasiliano zaidi atakama umeachika.
...Afu Rubii Naomba Unitafute Nicheck Hapa 0719271039.
Starehe ni sehemu muhimu ya chochote chenye mwili na roho ikiwemo ngono ambayo pia ataihitaji toka kwako, kwahiyo Starehe haziishi
Hii ungeenda PM
hivi starehe huwa zina mwisho??????
kumbe unaongelea ngono?michepuko inamwisho ukiamwua kubaki njia kuu.ndo starehe inashika chat kwa vjana wa karne ii.
kumbe unaongelea ngono?
okey hayangono zembe.ndo kikwazo cha ndoa nyingi kuvunjika.