Makalio wanawake siku hizi mnayatoa wapi?

Makalio wanawake siku hizi mnayatoa wapi?

Vedasto-Zacharia

Senior Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
113
Reaction score
30
Habari waungwana.

Niende moja kwa moja kwenye point, zamani kidogo wanawake wengi walikua na matako (makalio) ya kawaida but siku za hivi karibuni kila mwanamke ana mkia kama wasemavyo vijana wa kileo.

Enzi zetu ukikutana na mwanamke kabla ya kuongea nae, kwa kumwangalia umbo unajua mchaga, mgogo, mnyakyusa au mhaya. Maajabu siku hizi kila mtu ana makalio hatari kama mkia wa kondoo mpaka Wachaga.Hivi siri ya haya matako ni nini.

Au ndo kasi ya mtandao pendwa wa vijana. "Express yoursef"
 
Kuna jamaa anayauza huku mtaani kwetu. Kama na wew unayahitaji ni PM
 
1421238664994.jpg
 
interesting.....labda vyakula au labda ni nguo zinazo tengeneza shape kuliko zamani

zamani walikuwa wanavaa mashumizi ndani na manguo makubwa nje ungeonaje?
 
Habari waungwana,
niende moja kwa moja kwenye point, zamani kidogo wanawake wengi walikua na matako (makalio) ya kawaida but siku za hivi karibuni kila mwanamke ana mkia kama wasemavyo vijana wa kileo.
Enzi zetu ukikutana na mwanamke kabla ya kuongea nae, kwa kumwangalia umbo unajua mchaga, mgogo, mnyakyusa au mhaya. Maajabu siku hizi kila mtu ana makalio hatari kama mkia wa kondoo mpaka Wachaga!
Hivi siri ya haya matako ni nini?
Au ndo kasi ya mtandao pendwa wa vijana. "Express yasef"

Tumechoka kusoma post za kipuuzi. Ningekuwa moderator ningekulamba ban ya maisha. Kama huna topiki ya maana, tulia kimya. Enough is enough.

 
Kuongezeka kwa makalio ya wadada kunaenda sambamba na kukua kwa soko la dawa za kunenepesha na kuongeza nguvu za kiume....hii inaonyesha kuwa watu wanayatumia sana hasa nyakati za usiku...

Kikulacho yan umeongea simple ile mbaya ila ina make sense.
 
Back
Top Bottom