Natafuta mchumba

harmar

New Member
Mar 26, 2015
3
0
Habari zenu ndugu,

Natafuta mchumba wa kuoa, awe muislam mwenye iman kwa mola wake, awe na Miaka kuanzia 20-30. Kwa mawasiliano please first E-mail me throught harmarazar759@gmail.com
 
Kwa vigezo hivo vya dini wewe ni muislam! Na kipindi hiki mko kwenye mfungo! Unaonaje ukielekeza maombi kwa Mola wako
 
Kwa vigezo hivo vya dini wewe ni muislam! Na kipind hiki mko kwenye mfungo! Unaonaje ukielekeza maombi kwa Mola wako

Ndugu ndoa ni ibada mojawapo kwan twaambia, aliye ktk ndoa ametimiza nusu ya dini. pia tambua hayo maombi pia yaitaji juudi zako. kwan hata kwenye bibilia iliandikwa JISAIDIE NAMI NTAKUSAIDIA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom