Mke mvivu kitandani, nipeni dawa

Mke mvivu kitandani, nipeni dawa

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na malalamiko ya wanaume wenzangu akiwepo mimi kuhusu uvivu wa akina mama wengi katika kutimiza jukumu lao katika ndoa.

Efficiency ya tendo la ndoa zilizo nyingi hasa baada ya honey moon au miaka mitatu tu ya kuoana imeonekana kushuka sana katika ndoa nyingi.Sababu kubwa ambazo akina mama wamekuwa wakitoa ili kukwepa kushiriki tendo hili halali katika ndoa ni Nimechoka, kichwa kinauma, niko kwenye MP, nimeona hauko kwenye mood, kuna mambo nataka tu discuss kwanza nk.

Wanaume tunafahamiana kuwa unapokuwa unahitaji hupendi hadithi na kiu hii haiwezi kutulizwa kwa kupewa maji ya kuoga ya kuandaliwa chakula kizu aui maneno matamu.Kiu ya tendo la ndoa hukatwa kwa kufanya tendo lenyewe na si vinginevyo. Tofauti na akina mama wao maneno matamu ya mume yanaweza kukata kiu kama ipo ya tendo la ndoa, kununuliwa nguo nzuri au zawadi nzuri kwa akina mama ni equivalent na tendo la ndoa. Kwa wanaume sivyo.

Madhara:
Ijulikane kwamba mwanaume(hususani aliyeoa) anapokosa huduma hii kwa frequency aliyoizoea anakuwa anapatwa na mfadhaiko /stress na wakati huo akili inashindwa kufikiri sawasawa hadi atakapokuwa relieved Madhara ya tabia hii ya uvivu ndio mwanzo mkubwa wa wanaume wengi kuchepuka na ili asijulikane nje wengi wanachepuka na mabinti wa kazi ambao wako tayari wakati wote licha ya kuwa na kazi nyingi za nyumbani.

Mimi binafsi sifagilii kabisa michepuko ya aina yoyote ila waswahili wanasema
Simba akizidiwa hula majani. Ukiwauliza wanaume wengi kwa nini wanachepuka watakwaambia after all ilikuwa involuntary baada ya mhusika mkuu wa kutoa huduma hiyo kuwa irresponsible.

Ni kitu gani tufanye au nini dawa ya kupambana na uvivu wa akina mama kitandani ili kuokoa ndoa na kupunguza michepuko.Uvivu kitandani naamini ndio source ya michepuko wala tusifikiri ni kitu kingine. Akina dada ambao hamko kwenye ndoa mnaweza changia lakini napenda kusikia kkutoka kwa wanaume na akina mama watueleze kuna tatizo gani? Matusi na kejeli haziruhusiwi kwa sababu hapa tunahitaji kupata dawa ambaoyo itatibu michepukosis
 
Kuchepuka kuna raha yake hata kama mkeo si mvivu.
Mfano mimi mke wangu ni mweusi, mfupi wa wastani na mnene kidogo, kuna wakati huwa natamani mwanamke mweupe na mrefu au mwembamba na hamu kwa mke wangu isiwepo kabisa kwakuwa hana sifa hizo.

Nimejitahidi kutafuta michepuko yenye maumbile tofauti na wife kutatua tatizo langu.
Issue ya kuchepuka si uvivu wa mke, bali matakwa ya moyo kuupatia kile kitu unapenda.
Ila heshima ya mke inabakia palepale.
 
Tendo la kujamiiana linatawaliwa zaidi na phycology, liko kisaicologia zaidi,ndo maana kuna wakati unashindwa kwa mkeo lakini akitokea partner mpya mambo yanajipa hadi unashangaa.

phycology issues are not in the control of the will, are envoluntary kwa hiyo mda wingi mtu huna ujanja wa kudhibiti michepuko kwa sababu ya kuwa inje ya uwezo wako. Michepuko ingekuwa kama kunywa chai mtu una uwezo wa kusema leo mimi sinywi chai.
 
Pengine hafurahii tendo au unamuumiza so kaen muongee na wanandoana husemezana ukwel penye ukwel
 
sasa mtoa mada dawa anayo mkeo mwenyewe, kaa nae chini mzungumze
unajua sasa hivi ndoa nyingi huvunjika kutokana na watu kusaidiwa kuongoza familia zao, humu kila mtu ana mawazo tofautina mengi tunakisia kujaribu kutafuta chanzo na suluhu,
ila mtu sahihi ni muhusika mwenyewe muulize kwanini kashusha kiwango, jiangalie na wewe pia mwanzoni ulikuwa unamuandaa vipi na sasa unafanyaje, inawezekana mwanzoni nawe ulikuwa na manjonjo mengi mwenzio nae akawa anajitahidi kukuridhisha sasa kama sasa hivi humuandai unadai tu haki yako upande upump then ushuke lazma visingizio viwepo tu.
kaeni mzungumze hiyo ndio dawa, na muandaane vizuri kisaikolojia na kimwili kabla ya tendo.
 
jamani msiweke blame sanaa kwa wake zenu, ebu jiulize how do you approach your wife when u want some?..kuna wanaume wengne mabandidu khaaa...unaweza kuta mambo yote ukiyokuwa unamfanyia kipndi hicho umeacha, na yeye ofcourse ata lose interest na wewe...onyesha mapenzi jamani, utaona mabadiliko, ukiingia tu unapata kisses na tabasamu kulee..,marriage ni union ya watu wawili, lkn wengne mnafanya kama one-way street,wife hafany hiki,kile etc...ebu ongeeni alafu jaribuni kubadilika wote wawili, saidianeni mtaona raha,am sure of it
 
Me sometimes hua nnachepuka na mchumba siyo mvivu kivile, nna enjoy nikichepuka kidgo atleat once per 5months nkirudi kwake nnampenda mara dufu, ila generally nampenda huyu mwanamke mno mno mno kuchepuka kunaongeza appetite naona mbona mchumba wa ukweli kuliko hzi papuchi za nje kwa hyo nnatulia.
 
  • Thanks
Reactions: naa
Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na malalamiko ya wanaume wenzangu akiwepo mimi kuhusu uvivu wa akina mama wengi katika kutimiza jukumu lao katika ndoa.

Efficiency ya tendo la ndoa zilizo nyingi hasa baada ya honey moon au miaka mitatu tu ya kuoana imeonekana kushuka sana katika ndoa nyingi.Sababu kubwa ambazo akina mama wamekuwa wakitoa ili kukwepa kushiriki tendo hili halali katika ndoa ni Nimechoka, kichwa kinauma, niko kwenye MP, nimeona hauko kwenye mood, kuna mambo nataka tu discuss kwanza nk.

Wanaume tunafahamiana kuwa unapokuwa unahitaji hupendi hadithi na kiu hii haiwezi kutulizwa kwa kupewa maji ya kuoga ya kuandaliwa chakula kizu aui maneno matamu.Kiu ya tendo la ndoa hukatwa kwa kufanya tendo lenyewe na si vinginevyo. Tofauti na akina mama wao maneno matamu ya mume yanaweza kukata kiu kama ipo ya tendo la ndoa, kununuliwa nguo nzuri au zawadi nzuri kwa akina mama ni equivalent na tendo la ndoa. Kwa wanaume sivyo.

Madhara:
Ijulikane kwamba mwanaume(hususani aliyeoa) anapokosa huduma hii kwa frequency aliyoizoea anakuwa anapatwa na mfadhaiko /stress na wakati huo akili inashindwa kufikiri sawasawa hadi atakapokuwa relieved Madhara ya tabia hii ya uvivu ndio mwanzo mkubwa wa wanaume wengi kuchepuka na ili asijulikane nje wengi wanachepuka na mabinti wa kazi ambao wako tayari wakati wote licha ya kuwa na kazi nyingi za nyumbani.

Mimi binafsi sifagilii kabisa michepuko ya aina yoyote ila waswahili wanasema
Simba akizidiwa hula majani. Ukiwauliza wanaume wengi kwa nini wanachepuka watakwaambia after all ilikuwa involuntary baada ya mhusika mkuu wa kutoa huduma hiyo kuwa irresponsible.

Ni kitu gani tufanye au nini dawa ya kupambana na uvivu wa akina mama kitandani ili kuokoa ndoa na kupunguza michepuko.Uvivu kitandani naamini ndio source ya michepuko wala tusifikiri ni kitu kingine. Akina dada ambao hamko kwenye ndoa mnaweza changia lakini napenda kusikia kkutoka kwa wanaume na akina mama watueleze kuna tatizo gani? Matusi na kejeli haziruhusiwi kwa sababu hapa tunahitaji kupata dawa ambaoyo itatibu michepukosis

Huyo demu kama ni mchagga kwanza mwambie hatubu madhambi yake ya kufikiria kukuua ili arithi mali zako. Ukifanya hivyo utamwondoa hofu na kuwa huru, pili muwekee hela kitandani ili azione na kuzishika, ukifanya hivi utamla uroda vizuri tu mpaka utamshangaa kwani atataka kukufurahisha na kukuchosha ili aende kuzitumia hizo hela huku ukiwa hoi umelewa gegedo.
 
Tafadhali jamani hebu google kitu kimoja kinaitwa LIBIDO nadhani kina weza kukupa mwanga juu ya tatizo hilo.
 
Huyo demu kama ni mchagga kwanza mwambie hatubu madhambi yake ya kufikiria kukuua ili arithi mali zako. Ukifanya hivyo utamwondoa hofu na kuwa huru, pili muwekee hela kitandani ili azione na kuzishika, ukifanya hivi utamla uroda vizuri tu mpaka utamshangaa kwani atataka kukufurahisha na kukuchosha ili aende kuzitumia hizo hela huku ukiwa hoi umelewa gegedo.

Kwaniaba ya wanawake wote wakichaga ututake radhi vinginevyo tunaandamana...ha haa
 
Anawasingizia e huyu sio!!?? Kama alikutana na huyo anayeshikishw hela ndio atoe papuchi vizuri ni huyo wake tuu sioe.?
Msiandamane mwaya kilio chenu nimekisiki nitamshughulikia....! valentina tumshauri afute kauli haraka sana...!
 
Hebu mwambie afute bana kabla kiama hakijamfikia...
 
sasa mtoa mada dawa anayo mkeo mwenyewe, kaa nae chini mzungumze
unajua sasa hivi ndoa nyingi huvunjika kutokana na watu kusaidiwa kuongoza familia zao, humu kila mtu ana mawazo tofautina mengi tunakisia kujaribu kutafuta chanzo na suluhu,
ila mtu sahihi ni muhusika mwenyewe muulize kwanini kashusha kiwango, jiangalie na wewe pia mwanzoni ulikuwa unamuandaa vipi na sasa unafanyaje, inawezekana mwanzoni nawe ulikuwa na manjonjo mengi mwenzio nae akawa anajitahidi kukuridhisha sasa kama sasa hivi humuandai unadai tu haki yako upande upump then ushuke lazma visingizio viwepo tu.
kaeni mzungumze hiyo ndio dawa, na muandaane vizuri kisaikolojia na kimwili kabla ya tendo.

Lakini mkuu mtoa mada ana hoja.
Nimechoka, mi sijisikii, unajua siku hizi umekuwa mzito sana etc. Vinachangia michepuko!
Michepuko kila mahali; kanisani, kazini, safarini, uchochoroni, nyumbani!
Dawa : Tumrudie Mungu wetu tuliyemwacha hakika hatutachepuka!
 
Back
Top Bottom