Jamani katika maisha ya kijamii ni bora kumuheshimu mke/ mme wa mtu.
Ni jambo baya sana kumjaribu mke /mme wa mtu kwa mapenzi maaana hakuna aliyekamilika.
Wakuu,
Niliwahi kuja hapa na huu mkasa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/588449-niliapa-kutosimulia.html
Jana nikiwa Quality Center na wife nimekutana uso kwa uso na...
Mwaka 2013 nilipata fursa ya kushiriki kwenye mradi ulionisaidia kuitembelea Tanzania kwa 80%. Katika mradi huu nilifanikiwa kujiongezea marafiki wengi karibu kila pembe ya nchi. Kinachoendelea...
Iam Edu, 26 looking for you poor lady under 22 for coupling, neither ur education nor your business neither your color nor your height as long as you you will fit my poverty soul.
Pm or 713 123...
habari zenu waote...
mimi ni kijana wa kiume ila leo wikend imekuwa mbaya sana baada ya kuwa na mwanmke mmoja mrembo na kapendeza sana ila baada ya kukaaa naye room nimekuta ananuka mdomo na...
Eti wana MMU mapenzi yalianzia wapi?
Eti wana MMU nani aliyabuni mapenzi?
Eti wana MMU ni kitu gani kitamu zaidi ya mapenzi?
Eti wana MMU ni kitu gani kinamaumivu makali zaidi ya mapenzi?
Eti wana...
Wasalamu wana jamvi,
Ninae mpenzi ambaye miezi 3 mbele panapo majaliwa tutafunga ndoa, nashukuru MUNGU kwani ni mwema kwa kunipa mwenza panapo majaliwa. Huyu mke wangu mtarajiwa ni mpole na...
Kwenu wana Jf,
Mwanzoni mwa miaka ya 2011 nilianza kujikita zaidi katika maswala na utafutaji wa habari kwa njia ya mitandao basi nikiwa huko sikuacha kusikilizza radio hasa hizi za fm basi huko...
Salam zenu wakuu,
Siku mbili kabla ya ramadhan kuanza nilikua na mihadi na binti mmoja ili tuvunje jungu kupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan ili mwenzangu aweze kufunga kwa amani, yeye ni muslim...
kwa mara nyingine,mimi ni mwanaume wa miaka 27,mrefu wa futi 6,mweusi wa maji ya kunde,mchaga na mkristo safi.
Elimu degree of banking and finance.
Kwa sasa nmejiajiri kwenye kilimo.
Mke...
Habari zenu ndugu zangu,
Ashukuriwe Mungu muumba mpaka hapa tulipofika. Mimi ni kijana wa miaka 26 ambae leo nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu kwani nipo njia panda na sielewi kipi cha kufanya...
"Ebwana hapa nilipo nina ndugu kibao wamejazana hapa, na siwezi kuwafukuza, yaani walipiga simu eti anko tunakuja kukusalimia, hata kuwazuia siwezi, sasa ninajaribu kuwaelekeza namna maisha ya...
Nilikuwa nikitamani kupima UKIMWI kila siku ila nilikuwa nikiogopa sana. Kila nikijitutumua kwenda kupima, weeee! joto la mwili hupanda na kichwa kinauma sababu ya wasiwasi! Basi siku ya siku...
Wakiwa kwenye vyombo vya usafiri wanaongelea ngono. Wakiwa shuleni wanaongelea ngono,wakiwa kazini wanaongelea ngono, wakiwa hotelini wanaongelea ngono kila sehemu wanaongele ngono.
Hata kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.