Bado nahitaji mke wapendwa

Bado nahitaji mke wapendwa

ELIFURAHA MAKOMBE

Senior Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
176
Reaction score
22
kwa mara nyingine,mimi ni mwanaume wa miaka 27,mrefu wa futi 6,mweusi wa maji ya kunde,mchaga na mkristo safi.
Elimu degree of banking and finance.
Kwa sasa nmejiajiri kwenye kilimo.
Mke nimtakae awe na elimu ya form 4 nakuendelea,mrefu kiasi,mweupe au maji ya kunde,kabila lolote,akubaliane na dini yangu,awe ameajiriwa au amejiajiri,awe anapenda kilimo,ufugaji na biashara.
Nipo moshi mjini
Contact :0759 706090
Awe na miaka 20-26
Bado npo serious karibu mama wa watoto wetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom