Kila mtu ni mwema katika point flani, sema uema unatofautiana viwango.
Huyo wa kwako ukimchunguza utakuta kuna either upungufu flani unaomfanya awe na tabia hiyo, au kuna influence ya kutu flani kinachomfanya awe na tabia hiyo.
Cha kufanya kwasababu ni mke sio mchumba, fanya research kubaini tatizo lake linasababishwa na nini ili uweze kuja na solution, mapendekezo na mwisho uncoclude.