Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Eti wana MMU mapenzi yalianzia wapi?
Eti wana MMU nani aliyabuni mapenzi?
Eti wana MMU ni kitu gani kitamu zaidi ya mapenzi?
Eti wana MMU ni kitu gani kinamaumivu makali zaidi ya mapenzi?
Eti wana MMU miaka ya nabii Musa wanawake walijuwa kukatika viuno?
U are welcome ladies "N" gentlemen!