GazetiHuru
Member
- Jul 3, 2015
- 37
- 12
Kwenu wana Jf,
Mwanzoni mwa miaka ya 2011 nilianza kujikita zaidi katika maswala na utafutaji wa habari kwa njia ya mitandao basi nikiwa huko sikuacha kusikilizza radio hasa hizi za fm basi huko sasa nikakutana na kitu kipya "vipengele vya kutafuta wachumba" japo mwanzoni nilishangaa sana na kuona ni swala la utani basi nami nikatupia namba yangu mule ilinione hali itakuwaje.
Kama masihara nikaanza kupokea call za wa dada wengi na hapo akili yangu ikabumburuka ha kumbe hata huku watu wako serious, sasa kwa kuwa kwa wakati huo nilikuwa sijajiandaa basi niliachana nao ila leonataka kuona wadada wanao amini kuwa penzi linaweza chipuka mtanadaoni.