my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Wakiwa kwenye vyombo vya usafiri wanaongelea ngono. Wakiwa shuleni wanaongelea ngono,wakiwa kazini wanaongelea ngono, wakiwa hotelini wanaongelea ngono kila sehemu wanaongele ngono.
Hata kwenye nyumba za ibada wanaongelea ngono, sishangai Tanzania ni nchi yenye watu wenye low IQ maana watu wake hakuna wanalowaza zaidi ya ngono.
Hata kwenye nyumba za ibada wanaongelea ngono, sishangai Tanzania ni nchi yenye watu wenye low IQ maana watu wake hakuna wanalowaza zaidi ya ngono.