Kwani kuandika kiswahili dhambi ! ONA SASA,
Mungu akupe haja ya moyo wako
Kheee....... POOR ANY?
hivo hivo
Halafu unaonekana una kiburi...si ndiyo?
Ha ha haaa mkuu mtie kofi uyo analeta kiburi
Ni vijana wetu tutafanyaje...kuongea tu hajui halafu anataka kutongoza...hawajui kutongoza ni elimu nyingine ya juu!
Vijana wa sikuhizi ni usharobaro na kuwaza mapenzi tu badala ya kusoma ili ajikwamue na huo umaskini anatafuta maskini mwenzake ajifariji
Hii sheria ya kuolewa ikifika bongo robo tatu ya hawa ambao wakiface difficult kidogo tu wanaanzakulialia watawekwa ndani na wenzao tu maana hakuna jinsi!
Halafu sikuhizi wamejaa Jf sijui kwanini wanaboa na vithread vyao vya kishenzi shenzi