Ukisafiri lazima useme kua umefika unakokwenda.

Ukisafiri lazima useme kua umefika unakokwenda.

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Uswahili nao matatizo sasa..

kuna ulazima wa kutangaza kua umefika kule unakokwenda kwa ulio waacha sidhani sijui nyie wadau mnamtazamo gani
 
Akili zako hazijakomaa. Tena inatakiwa wewe muagwa ndio uulizie kama amefika. Akipata ajali njiani utajuaje? Labda kama ni malaya tu ulikutana naye njiani. Lakini ndugu yako ni muhimu kujua.
 
Yaani usafiri Dar-Ar ukifika usiseme? Ni muhimu sana kusema kuwa umefika salama na wakati mwingine kusema asante kwa uliowaacha!
 
Kwani wewe huwa husemi ukishafika mwisho? Mi huwa nasema kama si kulalamika.
 
ni jukumu kwa muagwa na aliyeaga kutoa taarifa pale kama amefika au laa :cell:
 
Muhimu kutoa taarifa pindi ufikapo salama ili kuonyesha moyo wa kujali pia kutoa wasiwasi kwa wengine.
 
Nahisi kama watu wanaongea lugha mbili tofauti hapa!!!!!
 
Back
Top Bottom