Ni pepo la ngono wala si jini mahaba

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,641
698,037
Watu wasichanganye pepo la ngono na jini mahaba

Jini mahaba ni pendapenda japo hupenda mmoja kwa Wakati mmoja, ukiona mtu anakupenda bila sababu na anakuwa tayari kufanya chochote, namaanisha chochote hata kuhatarisha uhai wake, huyo ana jini mahaba, na akikuhitaji halafu akukose anaweza hata kuumwa au kuchanganyikiwa

Lakini pepo la ngono ni habari nyingine kabisa, mtu likimpata huyu utamwonea huruma, kama ni mwanamke atapewa majina yote mabaya, mama huruma, maharage ya mbeya, malaya, changudoa , nknk

Kama ni mwanaume ndio wale wale nao wana majina yao, hawaridhiki na mmoja wanatongoza kila watakayemtamani, bila kujali umri wala hali yake, hawa hufikia kutongoza mpaka ndugu wa damu au watoto wa kuzaa mwenyewe,

Kwahiyo kuna tofauti katika ya pepo la ngono na nini mahaba kama ilivyo hapo juu,,,,kama una maoni tofauti karibu
 
Hebu itaje tuone inafananaje!!?

Mshana umeelezea tafsiri ya Jini mahaba na kuwa na pepo la ngono,seem nimekuelewa...sasa nikataka unieleweshe zaidi kuhusu huyu mwenzetu popoz yeye ana pepo ama ana jini mahaba maana nimesikia sana hadithi zake za kuwapasulia mayai watoto wa kiume!
 
Hii kali....kwa maana hiyo wasanii wa bongo movie wote wana pepo ya ngono? Inawezekana kweli hii?
 
...juzi kati nilipanda daladala ya kuelekea Uwanja wa ndege (DIA)..., tilipofika maeneo ya tazara kelele za mama mmoja zikaanza kusikika... "kwanini unaniwekea uume wako kwenye mwili wangu? ...mwangalie huyu! ...niukate? niukate? ..kwanini umenichafua? ...niukate?
alisikika mama huyo" ...loh! kumbe jamaa alitoa uume wake nje, akamwekea yule mama kwa nyuma! na mama yule akabatika kuunasa uume wa njemba! abiria' aaah!
...yule mama anazidi kupaza sauti "niukate?"
...njemba ikawa imebaki kimya!
...mama akaachia dudu!
...abiria wote wakashikwa na butwaa..., jamaa kimya kimya akashuka...!

"...natumaini huyu jamaa ana pepo la ngono..."
 
Mshana umeelezea tafsiri ya Jini mahaba na kuwa na pepo la ngono,seem nimekuelewa...sasa nikataka unieleweshe zaidi kuhusu huyu mwenzetu popoz yeye ana pepo ama ana jini mahaba maana nimesikia sana hadithi zake za kuwapasulia mayai watoto wa kiume!

Huyu ni firauni mshenzi tu wa tabia hana pepo la ngono wala jini mahaba, huyu kazi yake ni kudhalilisha vidume.. ni aina fulani ya uwehu au wendawazimu

Vilevile huyu ni kiumbe huru
 
Watu wasichanganye pepo la ngono na jini mahaba

Jini mahaba ni pendapenda japo hupenda mmoja kwa Wakati mmoja, ukiona mtu anakupenda bila sababu na anakuwa tayari kufanya chochote, namaanisha chochote hata kuhatarisha uhai wake, huyo ana jini mahaba, na akikuhitaji halafu akukose anaweza hata kuumwa au kuchanganyikiwa

Lakini pepo la ngono ni habari nyingine kabisa, mtu likimpata huyu utamwonea huruma, kama ni mwanamke atapewa majina yote mabaya, mama huruma, maharage ya mbeya, malaya, changudoa , nknk

Kama ni mwanaume ndio wale wale nao wana majina yao, hawaridhiki na mmoja wanatongoza kila watakayemtamani, bila kujali umri wala hali yake, hawa hufikia kutongoza mpaka ndugu wa damu au watoto wa kuzaa mwenyewe,

Kwahiyo kuna tofauti katika ya pepo la ngono na nini mahaba kama ilivyo hapo juu,,,,kama una maoni tofauti karibu
Na professor kapuya, ana nini sasa anajin mahaba au anapepo la ngono?
 
Huyu ni firauni mshenzi tu wa tabia hana pepo la ngono wala jini mahaba, huyu kazi yake ni kudhalilisha vidume.. ni aina fulani ya uwehu au wendawazimu

Vilevile huyu ni kiumbe huru

Nimekuelewa ila mchezo wake wa kuwafanyia wanaume 'mambo yake binafsi' Si wa kiunggwana na siku akijichanganya akaingia anga la wakubwa tunamkaanga na kunywa supu yake kama ngisi aliwavyo!
 
Back
Top Bottom