du kumbe waweza kujitambulisha na wakaoa wengine

du kumbe waweza kujitambulisha na wakaoa wengine

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana bila ya kumpa jamaa taarifa yeyote na inshu ndo proved kua dada keshafunga ndoa kweli jamaa alipo now namwonea huruma coz alimpenda sana yule dada lakini ndo kafanyiwa kitu kama hiko hapa alipo jamaa yupo chuo hana amani nisha mshauri avumilie but stress kibao wandugu hebu ushauri jamani nimsaidie huyu kijana
 
ulikuwa hujui.........

kuwa wapenzi himanishi ndio mtaoana.........
ikitokea mmeoana ashukuriwe muumba wa Mbingu na Nchi
 
Binadamu dah! wamekuja wengine wenye mtaji mkubwa yeye kabaki patupu, mpenzi ya siku hizi ni kama biashara za kwenye mnada
 
Binadamu dah! wamekuja wengine wenye mtaji mkubwa yeye kabaki patupu, mpenzi ya siku hizi ni kama biashara za kwenye mnada
kaka nilitaka kutoa ushauri kama uliosema wewe nikakuta umeshasema,ndio hivyo dunia ya sasa hapendwi,sasa huyu mwanamke rohoni mwake ndio anajua yupi alimpenda kweli,wewe ama yule?tulia tu kuna siku atakutafuta na utakumbuka maneno yangu
 
kuna rafiki yangu alishapelekwa kijijini na dada moja kwenda kutambulishwa kuwa ndo baba watoto mtarajiwa lakini haikuchukua miezi miwili jamaa kapata taarifa kua yule binti kafunga ndoa jana bila ya kumpa jamaa taarifa yeyote na inshu ndo proved kua dada keshafunga ndoa kweli jamaa alipo now namwonea huruma coz alimpenda sana yule dada lakini ndo kafanyiwa kitu kama hiko hapa alipo jamaa yupo chuo hana amani nisha mshauri avumilie but stress kibao wandugu hebu ushauri jamani nimsaidie huyu kijana

Sasa mtu yupo chuo huyo mwanamke angemtunzaje sasa.? mwambie aache ushamba asome apate GPA nzuri siku akipata kazi ndo aanze kutafuta mchumba la sivyo ataendelea kulia kama kengere ya kanisa.
 
Hawa wakaka siku hizi hawaeleweki kuna wanaojitambulisha kuwa ni waoaji miaka inaenda yupo tu wala haoi, labda na yeye ni mmojawapo. Kama katokea mwoaji bora binti aoelewe tu.
 
Akazane sana kusoma Supp zisije mkuta, wanawake wazuri daily wanazaliwa hata waliopo hawezi kuwamaliza, mwambie one step at time.
 
Waweza toa mahari na usioe wakaoa wengine waliokuzidi chapa seuze kutambulishwa lol...chezea mjini eeeeh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
unaweza kujitambulisha wakaoa wenzako,huo tunaita mgawanyo wa majukumu na pia unaweza kuoa na wakazalisha wenzako...huku tunaita kusaidiana majukumu! Pia unaweza kutojitambulisha,ukaoa na kuzalisha ila akahudumia mwenzio ambapo tunaita kupunguziwa majukumu!
 
amshukuru Mungu sana, bora kaolewa mapema kuliko angekuja kuolewa baada ya yeye kumuoa.
 
Mbona wapo wengi kama huyo au na zaidi ya huyo...kila nikitembea naona wapo wengi wazuri sana ya nini kuumizwa na mwanamke mmoja tu mkuu mwambie asome aachane na mawazo ya uasherati...full stop.
 
ulikuwa hujui.........

kuwa wapenzi himanishi ndio mtaoana.........
ikitokea mmeoana ashukuriwe muumba wa Mbingu na Nchi

Haswaaa hasa km bwana mwenyewe mzinguo...anayefaa kukuoa wamuona mapema..mtu unakuta kicheche unavumilia.. mkali badala ya kuelekeza anagombeza., anakuita mpnzi wakati mapenzi yenyewe hana na hajui kupenda...ss ukimpata unayeona anakufaa...kwann usisepe....
 
Rafiki yako ajichunguze huenda hajui mapenzi...pia ni jambo la kushukuru cz hujui MUNGU kakuepusha na janga gani
 
Pole yake kwa kunyang'anywa tonge mdomon

Wa kwake yupo ila wakat wake bado haujafika
 
Sasa mtu yupo chuo huyo mwanamke angemtunzaje sasa.? mwambie aache ushamba asome apate GPA nzuri siku akipata kazi ndo aanze kutafuta mchumba la sivyo ataendelea kulia kama kengere ya kanisa.

unaamin kuwa GPA kubwa ndo itakupa kazi???,,,,hahahahaa
halafu huwez jua,labda jamaa anasoma huku anafanya kazi(in service)
 
Back
Top Bottom