alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
Wapenda habari za weekend
Natafuta shule kwa ajiri ya mtoto ambae uwezo wake wa kusoma ni mdogo, hana utindio wa ubongo
Naombeni msaada wenu shule kwa ajiri ya primary school mahali popote Tanzania