Mwenye msimamo ndio mzuri
huyo nawe utaishi kwa akili maana unajua ukilikoroga hata kurudi
nyumbani unawaza utatanguliza mguu gani!
Kama hajisikii bora akwambie kuliko akupe huku anakulaani moyoni,kama
jamaa kasimamia kucha ni jukumu lako sasa kuhakikisha unamuambukiza
bidada mood ya game!
Nimepotea njia au?!
nimeipenda hii.
Habari za leo wana jamv? Iv wanawake wenye misimamo kwny sex hawasumbui wanaume kwl ,maana mi ninae wa hv sa nahofia nisije nikawa naambiwa cjisikii na m2 kasimamia kucha kwl,