Natafuta mchumba au mke

Nsele

Member
Dec 7, 2013
80
8
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya.

Natafuta mchumba au mke wa kuoa .

Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na sifa ambazo mwanamke anatakiwa awe nazo.

Mawasiliano 0714960298
 
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya.natafuta mchumba au mke wa kuoa .vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na sifa ambazo mwanamke anatakiwa awe nazo. mawasiliano 0714960298

Kitaa unachoishi hakuna mabinti au mdomo wako mzito kidogo?
 
demu mzuri atajipimaje?
afu USISEME MTU NI MZURI AU MBAYA KANA KWAMBA UNAUMBA WEWE. unajijua ni domo zege afu unachagua sura
 
Jamani nina miaka 28 natafuta mwanamke Wa kuoa awe mzuri wa sura na shape, rangi nyeupe. Nipo mbeya. Nipo serious aliyetayari anitafute kwenye namba 0714960298. Umri usizidi miaka 26
 
Ndiyo vigezo vyako vimeishia hapo? uzuri na weupe? kama hajui kupika je? Kama hajasoma je kaishia darasa la pili? kama aliwahi kuolewa na kuachika na ana watoto je?

Awe na miaka isiyozidi 26.my phone 0714960298.mzuri na mweupe
 
Nyie ndo wale majamaa mnakuaga wasongooo mmesoma sayansi hamjapata muda ata wakutongoza saiz ndo mnakurupuka... Everyone is booked nendeni vijijin kwenu mtawapata
 
Jamani nina miaka 28 natafuta mwanamke Wa kuoa awe mzuri wa sura na shape, rangi nyeupe. Nipo mbeya. Nipo serious aliyetayari anitafute kwenye namba 0714960298. Umri usizidi miaka 26

we si umefungua thread mwaka jna 2014 ukisema una miaka 26, leo hii 2015 una 28...yaani umeanza na uongo?!khaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom