Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
Habari wana jukwaa,
Ni mda sasa tokea nimekuwa nikiskia habari za kwamba mtu flani katendwa na mpenzi wake, mara kasalitiwa, mara kaliwa hela na kutoka mswaki katika mission hasa wakiumeni wenzangu, hili janga ni la kusikitisha kwa kweli na ni jambo la aibu na la kuliepuka. Ni wazi kwamba wengi wetu tumepitiaga hilo hata mara moja maishani kabla hatujagundua tricks za kucheza na hawa wana wa mungu (wakike).
Juzi kati nimedhirisha jambo moja kwamba hawa wana ili kwenda nao mstari ni kujifanya huna mpango nao.Kwa wanaume mnaowapenda hawa kuwalegezea ni makosa ya jinai kabisa,wakijua wakaridhika kwamba wanapendwa ni mwendo wa kuchukuliana poa poa tu. Niliamua kumfanya sample space mmoja wao na kumtia kwenye maabara kwa week 3 sasa nikajikuta nmepata matokeo ambayo kweli yamenidhihirishia kwamba kweli lisemwalo lipo.
Inawezekana kumrekebisha tabia mpenzi wako anaekuzuzua na mapozi kibao baada ya kugundua unampenda kwa dhati,na hata anaekusaliti kabisa. We mpotezee tu halafu muongezee mwenzie kimya kimya, fanya kumringishia tu aone una mwingine hata kwa kupiga nae picha tu mi sikuamini kama naweza nikamfanya mtu alie usiku kucha for days na hata kuwaza kunywa sumu. Hii ni nzuri kwa wale wanaume ambao ni wageni kwenye tasnia ya "love is pain and vice versa".
Hope itawasaidia pia It worked for me also!
Kwa ma expert tips nyingine jamani, tuokoe wenzetu wanaolizwa na mapenzi kokote walipo!