Hataki kuolewa kisa Muziki

Hataki kuolewa kisa Muziki

Joined
Jun 28, 2015
Posts
28
Reaction score
1
Asalam wadau,

Mimi n mgeni katika jamvi naomba kukaribishwa,

Nakuja moja kwa moja na mada husika kuna jamaa mmoja mtaani ana msichana wake anataka kufunga nae pingu za maisha lakini kazingua kuolewa sababu jamaa mlokole na msichana mwenyewe msanii.

Yani jamaa kamshawishi kuokoka achane na muziki amegoma kamwambia mshkaji kama ndoa bora na isifungwe, taratibu zilikua zimeanza zimesitishwa baada ya msichana kukataa, jamaa hana moja wala mbili kwanini cha kufanya.

Ushauri wenu kwake tafadhali kwanini cha kufanya
 
aseeeeeih!! mwisho wa siku ni wao wawili na mioyo yao inavyowapeleka
 
Duu hampendi jamaa!!

Sio kuwa hampendi labda mziki unamlipa ndio maana hataki kuacha mziki me naona hawa hawata wakiowana huko mbele watasumbuana maana mapema tayar taa nyekundu inawaka
 
Walokole hawajichanganyi kama huyo jamaa yako.

Mwambie akamuone mchungaji wake ili apewe vidonge vyake, la sivyo hilo neno mlokole liondoe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom