Wanaume: Hivi kwanini hatuwasifii wake zetu?

Njo Vile

Member
Joined
Jan 28, 2015
Posts
42
Reaction score
5
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake n.k.

Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo katika mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?Wazee wenzangu ebu tujadili kwanini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

Vijiweni: sehemu za kazi, bar, club, mikutanoni (
mida ya break), vibarazani, kunywa kahawa,n.k.
 
Haha haha maswali mengine bana yanaleta furaha
 
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake..... n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo ktk mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?
Wazee wenzangu ebu tujadili kwa nini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

wewe uliyeuliza hujaoa! na hujapata mafunzo ya ndoa. MAMBO YA NDANI HAYATAKIWI YATOKE NJE! PERIOD!!
Sasa oa halu ukwambie marafiki na watu utamu wa mkeo!! WAITE UWAMBIE!! Uone.
 
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake..... n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo ktk mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?
Wazee wenzangu ebu tujadili kwa nini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

SI08.jpg
 
Vipi wako ni mtamu? Weka na picha mkuu ikibidi.....
Kwa upande wangu sina hata hilo wazo la kusimulia hata uwe rafiki kiasi gani, never!!
 
Hiyo hairuhusiwi, narudia hairuhusiwi kumsifia mkeo kwa watu hata kwa ndugu yako ni mwiko.

Period.
 
Awe mtamu asiwe mtamu ni siri kuu, mambo ya ndani ya ndoa hayatoki nje .
 
Wanaume tumezoea kuwasifia wake zetu kwa namna mbalimbali, mfano; mchapa kazi, mpole, mrembo, ana huruma, roho nzuri, anajua kupika, ni dreva mzuri, n.k. Tukiwa vijiweni tunawasifia mademu wengine kuwa yule ni mtamu, ana manjonjo, analiaga vizuri, mashine mnato,mapaja yake..... n.k.
Lakini sijawahi kusikia mtu akimsifia mkewe kuwa ana mashine tamu, ana manjonjo ktk mechi, anajua kweli mchezo, anajua kukata mauno, n.k. why hatuwasifii kwa haya mambo?
Wazee wenzangu ebu tujadili kwa nini hatuwasifii wake zetu kuwa ni watamu?

We thamani ya mke ni kubwa saana,huwezi kumuongelea hovyohovyo kwenye vijiwe
 
Back
Top Bottom