Hivi neno Katerero asili yake ni wapi?

Hivi neno Katerero asili yake ni wapi?

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Wazoefu wa mapenzi wanajua maana ya neno hili lakini wengi wetu hatujui asili yake na kama kweli humaanisha kama wengi tunavyotafsiri.
Wenye kujua watujuze.
 
Moshi Marangi Mamba Kotela ndiyo asili ya hilo neno.

copy Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Asili yake ni kule uhayani, maana yake tela amaizi kalugemu
 
Hili neno asili yake ni kwa wahaya. Ila naskiaga ni style moja ya Kusex hatari sana.... Ukimfanyia demu wako hakuachi aisee
 
Maana yake ni kusugua na kichwa cha uume kwenye kinena cha mwanamke maji yote yanatoka kama bomba la maji ndo maana ukienda bukoba kila siku asubuhi magodoro mengi unakuta yameanikwa juani yakauke kwa ajili ya usiku.
 
katerero.jpg
 
Duu hataree!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom