Hii,
Ni kwa msichana yoyote mwenye age ya 19 hadi 23, mweupe, mkristo, mpole, elimu form 4 inatoka, asiwe mvivu awe na huruma, heshima na adabu aje tufanye maisha asiigize,asiwe na tamaa awe mvumilivu.
Hapo atapendwa sana pia asiwe mwembamba umbo la wastani tu linatosha ampende Mungu na awe na hofu nae,mimi nimeajiliwa na serikali na nimepanga pia maisha yangu ni yakawaida
Ni pm kama upo serious na unazo hizo sifa mimi naishi Mwanza kwa sasa