KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,320
Unakuta bi harusi anamimba kubwa tu, wakati wa kwenda kuchukua msosi, unamwachia mkeo ashike sahani zote mbili, huku akitembea kwa shida, we ukiwa free ukirusha mikono, huwa nakereka sana.
Hiyo ni dalili ya mfumo dume utakaokua nao.
Hiyo ni dalili ya mfumo dume utakaokua nao.
