Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,529
Umri wangu miaka30,makazi yangu Dar,dini ni mkristo,sijaajiriwa(sina kazi)naahidi kumpenda kwa dhati atakayenipenda,pia niko tayari kuishi popote pale ndani ya Tanzania,hakuna mashariti njoo tupendane nimechoka na ubachela nahitaji kuishi na mke ili tujenge familia bora
Karibuni PM
Karibuni PM