Wazazi wamemwambia asioe pengine, akaoe Tanga kwao

Wazazi wamemwambia asioe pengine, akaoe Tanga kwao

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,249
Reaction score
11,924
Rafiki yangu kapata mwanamke mzuri sana na akampenda.Jamaa kwao ni Tanga wilaya ya Mkinga.Wazazi wake wamemuambia asioe watu wa hapa Shinyanga akaoe kwao Tanga.

Je, kuna haki ya kuwasikiliza ndugu na wazazi?
 
No haki kijana.... Lakini tanga ni hatari kule
 
Tanga hatari sana wamefundwa wakafundika ww acha tu, Tanga ntarudi tena
 
Kama Rafiki Nimemshauri Aende Tanga Awailimishe Wazazi Wake Wamuelewe.Jamaa Yeye Ni Mtanga Haswa.
 
Tanga Kuna Hatari Gani Tena??
 
Mleta mada funguka najua ww ndo unataka ushauri jipambanue tukuxaidie
 
Asikilize Moyo wake unamuambia nini

Sio kusikia ya nje

Wazazi wanaweza kuwa wako sahihi maana wanajua mengi zaidi juu ya matabaka hayo.
 
Mimi Kwetu Kilimanjaro Pale Usangi Kwa Wapare.Mie Sio Mtanga Jameni.Jamaa Angu Nafanya Nae Job Ndo Tulienda Kuchumbia Nae Na Akawajuza Wazazi Ndio Wanaleta Usiku
 
Salt Anatafuta Ushauri Kwa Wazazi
 
Back
Top Bottom