Naombeni kwa mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo na aliyetayari kuwa kwenye mahusiano anitafute, mnene, mpole, mkweli, muwazi.
Kama yupo anitumie Email kupitia imani.mangowi@gmail.com
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka, ninae class mate wa mimi aliolewa mwaka 2009 kwa ndoa ya kikristo(katoliki), ndoa yake ilidumu kwa muda wa miaka miwili tu akatengana na mume...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Wakuu, ni week sasa inakatika sina mawasliano na mpenz wangu, sababu ni kuwa nilimgombeza kwa kuwa alisafiri kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingne pasipo...
Habari ndugu zanguni,
Naomba tushirikishane katika hili.
Vijana wenzangu na wakubwa zangu, hivi kwa kijana kama mimi ambaye sijaoa kuna haja ya kuwafahamisha wazazi mshahara wako au ndugu yako...
Umri wangu 28 mkristo, mwajiriwa serkaln, natafuta mume alie nawatoto pia tujenge familia, hata asiye na uwezo wakupata watoto.
Wanangu nina uwezo wakuwahudumia usihofu, ila upweke ndo...
Mimi Ni Mwanaume Naish Dar Natafuta Mwanamke Wa kumuoa.Awe Tayari Kunitafutia Kazi Kwn Na Stashada,kunilipia Ada Npo Chuo Kikuu Mwaka Wa Pili,sina Ubaguz Wa Kabila,rangi,dini,elimu.Kwa Maelezo...
Je, mwenye nyumba ana haki ya kukupangia kuhusu masuala ya mahusiano?
Kuna mama mmoja anataka kuwe kunafika mwanamke mmoja tu na kama ni mwanamke kuwe kunafika rafiki wa kiume mmoja tu na hata...
Si utani ila ni kweli tupu.ndicho ninachomuomba Mungu anisaidie, snipe nguvu ya kukiongea hata Kilosa kichungu kiasi gani. Maandiko yanasema ukweli utatuweka guru.
Back to the topic;
Nimekuwa na...
Waungwana wa JF,
Nilipata mwanamke ambae tuko wanaume watano na wote tunafahamiana, lakini huyu mwanamke naishi nae kwa muda sasa na kaniahidi kuwaacha wengine wote na ameanza kuwakandia...
Habari ndugu zangu!
Kwa kifupi ni hivi mi ni mfanyakazi katika idara Fulani Serikalini, nikiwa kazini nikajikuta naingia katika mahusiano na wadada wawili tofauti hapo ofisini(wote ni wafanyakazi...
Habarini wana MMU
Kuna kasumba imezagaa sana huku uswahilini na hasa kwa wale ambao wanandoa lakini wako concervatives yaani unakuta watu wameoana na mtoto akipatikana lazima kiwekwe kikao...
Waungwana natumai humu mko wazima,
Kama nilivyouliza hapo juu kushirikiana kwa maana ya kushea na ngono na mtu ambaye sio mpenzi wako. Pale ambapo unajua kabisa fulani na fulani ni wapenzi ila...
Ni mwanamke mrembo na ni mzuri kwa sura na umbo achilia mbali tembea yake ya maringo wanaume wengi walijigongesha wenye pesa na wasio na pesa,wenye magari yao ndo usiseme,basis kutokana na...
Naamini mko poa wana jf
Wanawake wengi wamekuwa na dhana potofu kuwa wanauwezo wa kulea watoto/mtoto peke yao bila kumtegemea mzazi mwenzake
Na hii ni kwasababu tu eti amejaaliwa kupata kazi...
Love is a beautiful thing as much as it hurts but its worth it when you have the right person to share with and I'm talking about everything that comes with it the whole package the laughter, the...
Habarini!
Natafuta marafiki wa jinsia zote!
Walio komaa kibiashara na ujasiria mali
Wawe na wasifa angalau huu hapa;
i> Aliepitia changamoto za kupanda na kushuka kibiashara
ii> Ambae...
Jamani naomba ushauri,
Mimi nina mchumba wangu ambae naishi nae lakini hatujafunga nae ndoa, huu ni mwaka wa 3, hajapata mimba na baada ya kwenda hospitali amegundlika kuwa ana matatizo na hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.