MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
Jamani najua wote mko poa,
Mke wangu weekend iliyopita alienda jangwani kwa MAGUFULI akarudi na collection ya nyimbo zote za Komba kuanzia CCM mbele kwa mbele,wapinzani wakija tuwachanechane tuwatupe and the list goes on and on, tatizo langu ni yeye kuweka hizo nyimbo na kufungulia mziki mpaka mwisho,mm personally nina matatizo makubwa na hiki chama lkn tatizo Kubwa ni yeye kunifanya mm Mme -----,nasikia majirani wanalalamika inawezekanaje nilipe kodi,ninunue luku hlf mke aweke nyimbo za CCM,leo nimwambia achague ndoa au hapakazi tu