Wanawake wanavyopenda kudanganywa

Wanawake wanavyopenda kudanganywa

yampwai

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda Kudanganywa kuliko hata kwenda Saluni We angalia aina ya Maswali anayokuuliza yalivyo.

Unatongoza Demu Mpya halafu kabla hata hajakukubalia anakwambia.

"Naomba nikuulize Swali but please
be HONEST with me, Mara ya Mwisho Kuduu ilikuwa lini"

KHAH!

Hivi kweli hata kama mara ya mwisho ilikuwa Jana jioni na ninakupenda kweli na Iam a very honest Man NTAKWAMBIA KWELI?

Yaani jana jioni nimepiga mechi ya mchangani halafu leo nakwambia I love you, tutaelewana?

Acha tuendelee kuwadanganya mpaka mtakapobadilisha maswali kwenye Questionnaire yenu.

Mnatupa tu stress, Aliyekwambia kuwa Singo kunazuia mechi za Madrid na Azam FC nani?

Tena ntakujibu huku Chozi
linanilengalenga kwa mbali
"Yaani Hata Sikumbuki Aisha,mpaka hata shape ya harage nimeisahau,ni siku nyingi sana"
THUBUTU!

Kitu jana tu!

Yaani unauliza kama Afghanistan
kuna Waislamu?
 
Haya yote hutokea ONLY pale Wavulana na Wasichana wakikutana.
 
Afadhali huyo kauliza swali rahisi. Wengine wanauliza eti ushakuwa na girl mwingine??? Hahahsss kweli makubwa
 
Wanawake huwa wanataka maneno matatu ya uzima...NIMEKUPENDA TULIA TUFANYE MAISHA.....wasichana wanataka maneno mawili ya uzima NIKO SINGLE NATAKA KUKUOA
 
Wanawake Wengi wakiambiwa ukweli anaona unamdanganya.....ukimdanganya anaona ndio ukweli.....hatari sana
 
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda Kudanganywa kuliko hata kwenda Saluni We angalia aina ya Maswali anayokuuliza yalivyo.

Unatongoza Demu Mpya halafu kabla hata hajakukubalia anakwambia.

"Naomba nikuulize Swali but please
be HONEST with me, Mara ya Mwisho Kuduu ilikuwa lini"

KHAH!

Hivi kweli hata kama mara ya mwisho ilikuwa Jana jioni na ninakupenda kweli na Iam a very honest Man NTAKWAMBIA KWELI?

Yaani jana jioni nimepiga mechi ya mchangani halafu leo nakwambia I love you, tutaelewana?

Acha tuendelee kuwadanganya mpaka mtakapobadilisha maswali kwenye Questionnaire yenu.

Mnatupa tu stress, Aliyekwambia kuwa Singo kunazuia mechi za Madrid na Azam FC nani?

Tena ntakujibu huku Chozi
linanilengalenga kwa mbali
"Yaani Hata Sikumbuki Aisha,mpaka hata shape ya harage nimeisahau,ni siku nyingi sana"
THUBUTU!

Kitu jana tu!

Yaani unauliza kama Afghanistan
kuna Waislamu?

Wanapenda ukweli.
 
Back
Top Bottom