Mwanamke anapenda kupendwa

Mwanamke anapenda kupendwa

Mjumbe 15

Senior Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
156
Reaction score
42
Mwanamke anapenda kupendwa!

Nimeisoma mahali fulani habari hii na kuileta hapa kwa ‘Great Thinkers'.

Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati zaidi kuliko wanaume.Mwanamke anapoamua kuwa na mpenzi wake, humpenda kwa moyo wake wote hivyo hupenda kuwa salama katika penzi la dhati kwa mwanaume wake ni kweli kwamba wanawake wana mapenzi ya dhati kuliko wanaume?"

Na ni kweli wanawake wanapenda kwa moyo wao wote?

Sisi wanaume tunapenda nusunusu?

Mbona mimi naona mapenzi yangu kwa waifu ni ya dhati kuliko yeye?

Hebu tiririkeni
 
Wanawake wanatofautiana kama zilivo species nyingne huez kujadili kiumbe kimoja ambacho kimegawanyika katika makundi zaidi ya milioni kutegemea na mazingira,nachomaanisha sioni mantiki ya kumchambua mwanamke ambaye hujui anawaza nini kichwani kwake
 
Ok!

Kumbe ndo hivyo.

Ndio hivo
Huwa nashangaa kwanini tunaumiza akili kutaka mpaka kujua homo sapiens mwenzako ana hulka gani,anawaza nini?hio ni ngumu mkuu

Ni kama wewe sasa ivi wanaokujua wanaweza kukuelezea kama ni mtu mwema lakini je wewe hufanyi mabaya meng ila ni siri ya moyon
Kwa hio hata wanawake unaeza sema wanapenda lakini kumbe pia wana hisia za kuchukia so asipokupenda wewe atampenda mwingine vise vesa iz true
 
Ahaa.

Kumbe anakupenda kwa moyo wote. Lakini akikuchukia anakuchukia kwa moyo wote. Halafu anapenda mtu mwingine kwa

moyo wote.

Asante Mkuu nimekuelewa.

Back
Top Bottom