Je, unahitaji mke/mume mwema?

Je, unahitaji mke/mume mwema?

Ahsante mtumishi, hata huyo huyo mme/mme ambae waweza muona siyo mwema
ukifunga na kuomba kwa ajili yake, ukiongea na mungu kwa kina
anamfanya kuwa vile utakavo wewe (kuwa mwema) ila sio kutoa kibanzi machoni pa mtu wakati jicho lako lina kibanzi pia
 
Na pia ukiona majaribu yanazidi sana kwa huyo unayemuombea ujue Mungu anataka kukuvua kutoka kwa huyo mtu,na Mungu atakupa wa kufanana nae.

Kuna vitu binadamu huwa tunalazimisha hata kama Mungu ameamua kutuonesha njia ya Kutokea.
 
Swadaktaaa mkuu!
 
Kweli kabisa, ila tunaifanya tu mioyo kuwa migumu kumbe Mungu nae ana mipango yake tu mizuri
 
Nilikuja speed nikidhani utaniallocate walipo hawa wake wema kumbe wako mbinguni! Daah basi poa,nikienda huko nitamposa mmoja!
 
kweli mamy, tatizo vijana tunapenda kwa mitazamo yetu na sio kumuomba mungu atupe yeye amtakae na kwa mapenzi yake. Mafano mungu ananijua vema na weakness zangu hivyo anajua akinipa mr fulani ataweza kuzimudu weakness zangu na kunichukulia. Hizo hizo weakness kuna mtu mwingine hawezi kuvumilia. Tatizo kubwa ni kwetu vijana tunaomba sometimes huku tuna imagination zetu. Wengine waangalia wowowo, wengine wanaangalia status na pochi, ni sheeeda mungu atusaidie tuyafuate makusudi yake

Pale ambapo mtu anaolewa kwa sababu ya Umri,tamaa ya kufua suruali na 'kutaka heshima'. Mwisho wa siku lawama zinakuwa nyingi,kumbe ukiangalia nyuma unaona mtu huyu alilazimisha ndoa bila kujali mtu aliyemuoa au kuolewa nae hakuwa wa kufanana nae.
 
ni kweli tupu.tutende kama tunavyotaka kutendewa. Mtumishi mmoja alisema kua kama wewe ni mlevi kaoe mlezi mwenzio na sio kutesa watoto wa watu. Hata mume/mke anaweza kubadilika ukimwombea ila unatakiwa uwe role model wake kwa kua na matendo mema
Aombae mke mwaminifu ahakikishe nae ni mwaminifu
aombae mke mchapakazi nae asiwe mvivu n.k
 
Na pia ukiona majaribu yanazidi sana kwa huyo unayemuombea ujue Mungu anataka kukuvua kutoka kwa huyo mtu,na Mungu atakupa wa kufanana nae.

Kuna vitu binadamu huwa tunalazimisha hata kama Mungu ameamua kutuonesha njia ya Kutokea.

Umenena vema.

Inawezekana umevaa viatu visivyo size yako hivyo Mungu anataka kukuonyesha size yako.
 
Umenena vema.

Inawezekana umevaa viatu visivyo size yako hivyo Mungu anataka kukuonyesha size yako.

Mungu ni Mwema. Kila Mtu ameumbiwa mwenza wake,na huyo mtu akiona tabia za mwenza wake zipo kinyume miaka nenda rudi ni dhahiri kuwa huyo hakuwa wake ila kamchukulia mtu.
 
Mungu ni Mwema. Kila Mtu ameumbiwa mwenza wake,na huyo mtu akiona tabia za mwenza wake zipo kinyume miaka nenda rudi ni dhahiri kuwa huyo hakuwa wake ila kamchukulia mtu.

Tatizo wengi hawatambui hilo, maana jambo baya zaidi hata wale wanaotihidi kutoka hupanic na kulazimisha kutafuta mtu haraka matokeo yake nikuangukia pua.
 
Unachojua wewe kufunga ni kuacha kula tu?

Hivyo ndivyo alivyojua Yesu alipofunga. Na hivyo ndivyo alivyojua Mtume Musa Alipofunga .

Sasa labda we unifundushe hapa.
Kufunga kikatoliki ni kufanyaje? Au ndio ule usanii tulizoea kuusikia?
Eti mtu anafunga kushiba tu lkn Kula Ruksa.
Au mtu anafunga maji lkn Juice anakunywa.
Acheni kuzidanganya Nafsi zenu.
Kwa mujibu wa Imani Zote FUNGA NI YA AINA MOJA TU. full stop
 
Ni heri huo usanii unaousikia wa kula bila kushiba kuliko kumkejeli mungu kwa kujifanya umefunga huli huku unakimada ndani, au jioni unafanya fungulia dogi, huko sio kufunga ni kushinda njaa
nb: mie na wewe hatuna hayo mamlaka ya kuchunguza mfungo wa mtu, Mungu ndo mwenye mamlaka, make tunafunga kwa ajili yake na sio kwa ajili ya WANADAMU
afu soleee huwa sina interest kabisa ku discuss mambo ya dini kwa nafasi ya kuangalia dini hii sawa dini hii sio sawa
nikutakie siku njema
 
Habari za leo wakuu. Kwa sisi wakristo tunaamini mke/mume mwema anatoka kwa mungu. Ukiomba mkate utapewa mkate na sio jiwe. Pointi kubwa ni kukaa magotini na kumwomba sana mungu akulocate kwa right partner. Pia kama unahitaji mke/mume mwaminifu sharti na wewe uwe mwaminifu kwa mungu kuanzia mwanzo sio uwe mwaminifu ukishaingia kwenye relationship au ndoani. Mungu anaangalia uaminifu wetu kwake kwanza. Nawashauri vijana wenzangu tujitahidi kua waaminifu na kuzishinda tamaa za mwili sasa japo ni ngumu but it is possible. Sio kuchezea watoto wa watu daily halafu unataka mwanamke/mwanaume mwaminifu. Kadri unavyochezea wake/waume wa watu na wewe wako anachezewa hivyo hivyo. Jumapili njema

Alaa kumbe!
eti mimi nilidhania hivi mke mwema anatoka kwa bwana yaani aliyemwacha mmewe au jamaa yake..!
Pia nathikiaga eti mme mwema anatoka bank!
 
Tusikariri maandiko. Mume /mke awe mwema au si mwema atoka kwa Bwana.

Hosea aliitwa kuwa msemaji/nabii wa Mungu, lakini Mungu alimjalia mke mzinzi. Ni Mungu ndie aliemjalia mke huyu mzinzi. (Hosea 3:1-3)
 
Teh teh teh.
Sasa dada muefeso mambo ya vimada yametokea wapi?
Mi naongelea Funga we unaleta uzinifu! Mi huko simo kabisa.

Kula bila kushiba SIO FUNGA bali ni Usanii tu.

Ukishasema Umefunga Maana yake Ni KUFUNGA KILA KITU.
Kuanzia Mdomoni mpk huko Chini. Hata kwa mumeo/mkeo wa halali vyote lzm Uvifunge mpk wakati wa Kufungua.
Hio ya kula usishibe ni Kuidanganya nafsi yako.

Na mimi nakutakia Asubuhi Njema vile vile manake hapa ndo kwanza Majogoo hata hayajawika.
Hata wewe unaeshinda bila kula huku dhambi zingine umekumbatia ni usanii mtu
nawashuhudia wengi tu unafunga huku unaishi ndani na kimada
huko ni kufunga au kushinda njaa
 
Back
Top Bottom